Zuchu-Yalaaaa cover art

Zuchu ● Yalaaaa

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Zuchu's "Yalaaaa" right here on Musik8 -Go To Play-

(Mojaaa..)
(Mocco!)

Mmmh kaniumbua umbua
Anavyonidadavua
Vitu flani vya kusisimua
Chachambu anavyo ichambua

Hunipa ning’ate ng’ate
Mikato nikate kate
Igande inate nate
Itelezeshwe kwa matee



Yalaaaa!...⇣ More

(Mojaaa..)
(Mocco!)

Mmmh kaniumbua umbua
Anavyonidadavua
Vitu flani vya kusisimua
Chachambu anavyo ichambua

Hunipa ning’ate ng’ate
Mikato nikate kate
Igande inate nate
Itelezeshwe kwa matee



Yalaaaa! Yalaaaa! Yalaaaa! Yalaaaa!
Yalaaaa! Yalaaaa! Yalaaaa! Yalaaaa!

Kanipania paniaaa
Na hajataka kuniachia
Kanipania pania
Na hajataka kuniachia

Kama samaki hulumangia
Huanza kichwa mpaka na mkia yahyah

Naiomba serikali (Kali)
Kijana apelekwe mbali (Mbali)
Ananifanya silali (Lali)
Siwazi, sitafakari

Yalaaaa! Yalaaaa! Yalaaaa! Yalaaaa!
Yalaaaa! Yalaaaa! Yalaaaa! Yalaaaa!

Yakhayuku, yakhayuku 
Mshuku shuku 
Yakhayuku, yakhayuku 
Mshuku shuku

Yakhayuku, mshukushuku
Yakhayuku, mhukushuku

Yakhayuku, yakhayuku 
Mshuku shuku 
Yakhayuku, yakhayuku 
Mshuku shuku

Yakhayuku, mshukushuku
Yakhayuku, mhukushuku

Aii tende (Tende) 
Halua (Halua) mama

Yakhayuku, yakhayuku 
Mshuku shuku 
Yakhayuku, yakhayuku 
Mshuku shuku

Yakhayuku, mshukushuku
Yakhayuku, mhukushuku

(Kamix Lizer)

⇡ Less


Artist : Zuchu
SongTitle : Yalaaaa
Album : Yalaaaa-Single
Release Year : 2021
Bitrate : N/A
Country: Tanzania
Genre : Afrobeats

Added On : 2022-10-13
Length : N/A

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Zuchu's Yalaaaa Track | Song

More Songs From | Featuring Zuchu

Raha
Tanzania

Diamond Platnumz ● Raha

DUR 3:38
FT Zuchu
Ma Wo Mi (South Ah Remix)
Nigeria

Lade ● Ma Wo Mi (South Ah Remix)

DUR 3:15
FT Zuchu
Shika
Tanzania

Zuchu ● Shika

DUR 3:11
Chapati
Tanzania

Zuchu ● Chapati

DUR 3:21

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song