Zuchu-Raha cover art

Zuchu ● Raha

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Zuchu's "Raha" right here on Musik8 -Go To Play-

[Intro]
Mmmmh! Mh!
Lala Lala Lala
Mmmmh! Mh!
Lala Lala Lala
Mmmmh! Mh!
Lala Lala Lala
Mmmmh! Mh!

[Verse 1]
Yani Kwa Sauti
Kasema Deeka Deeka
Na Mimi Najiachia
Kanipa Shuruti
La Kumteka Teka
Silaha Kanigawia
Mbezi...⇣ More

[Intro]
Mmmmh! Mh!
Lala Lala Lala
Mmmmh! Mh!
Lala Lala Lala
Mmmmh! Mh!
Lala Lala Lala
Mmmmh! Mh!

[Verse 1]
Yani Kwa Sauti
Kasema Deeka Deeka
Na Mimi Najiachia
Kanipa Shuruti
La Kumteka Teka
Silaha Kanigawia
Mbezi Kimara
Hunipeleka peleka
Mpaka Mwisho Hashuki Hashuki
Kiungo Imara
Hunipenyeka Penyeka
Kwa ya Nguvu Mashuti Mashuti




Oooh Oh!
Kaniweka Darasani
Kunifundisha Vizuri
Mengi Hayajulikani
Yataka Kuyakariri
Kanichorea Ramani
Kopa Lenye Nyingi Siri
Jekundu Nje Na Ndani
Rangi Yake Zingifuri

[Chorus]
Raha Kupendwa Raha
Mmmhh! Kupendwa Raha
Raha Jamani Raha
Naona Raha
Raha (Raha)
Kupendwa Raha
Ooh! Kupendwa Raha
Raha Jamani Raha

[Verse 2]
Eti Niende Msituni
Zaraninge Na Matipwili Nikamroge
Abadan (Abadaan)
Penzi Nichanjie Mizaituni
Kwa vilinge Na Kuzikiri
Linoge
Aah Abadan Aah Abadan
Mmmmhh!
Vineno Vya Kisirani
Kafumwa Na Mwafulani
Mweupe Mara Kijani
Inawahusu Nini?
Vipimo Viso mizani
Kutwa Kwenu Midomoni
Tumewakaa Kichwani
Mtumezee Kwinini

[Pre Chorus]

Ndege Asili Ya Buga
Kufugwa Hawezekani
Mithili Ya Kivuruga
Kaumbiwa Kutamani
Atenda Tafuta Boga
Japo Tama Libandani
Ende Tezi Sina Woga
Atarejea Ngamani

[Chorus]
Raha Kupendwa Raha
Mmmhh! Kupendwa Raha
Raha Jamani Raha
Naona Raha
Raha (Raha)
Kupendwa Raha
Ooh! Kupendwa Raha
Raha Jamani Raha

[Outro]
Oooh! Oh!
Ooooh! Oh!
Oooh! Oh!
Ooooh! Oh!

⇡ Less


Artist : Zuchu
SongTitle : Raha
Album : I Am Zuchu EP
Release Year : 2020
Bitrate : 128 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop
Producer: Lizer Classic

Added On : 2023-01-11
Length : 3:25

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Zuchu's Raha Track | Song

More Songs From | Featuring Zuchu

Raha
Tanzania

Diamond Platnumz ● Raha

DUR 3:38
FT Zuchu
Ma Wo Mi (South Ah Remix)
Nigeria

Lade ● Ma Wo Mi (South Ah Remix)

DUR 3:15
FT Zuchu
Shika
Tanzania

Zuchu ● Shika

DUR 3:11
Chapati
Tanzania

Zuchu ● Chapati

DUR 3:21

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song