Zuchu ● Nisamehe
Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Zuchu's "Nisamehe" right here on Musik8 -Go To Play-
[Verse 1]
Kukuhini KusiokwishaKumeangukia PemaniRoho YanidadarikaKashantoka ShetwaniNimeumbiwa MakosaMwanadamu Na MimiMoyo Umekunja NditaNakumiss Jamani
[Bridge]Ngumu SafariNlifanya Njiani Ushukie Eeh Eh!Ukakosa SeatMmiliki Gari Lako Mwenyewe...⇣ More
[Verse 1]
Kukuhini KusiokwishaKumeangukia PemaniRoho YanidadarikaKashantoka ShetwaniNimeumbiwa MakosaMwanadamu Na MimiMoyo Umekunja NditaNakumiss Jamani
[Bridge]Ngumu SafariNlifanya Njiani Ushukie Eeh Eh!Ukakosa SeatMmiliki Gari Lako Mwenyewe Eh!Nikajiveka MashatiNikajiona Me Ndo Mie Eeeh Eh!Kweli Mbaya HalisiNa Wema Hakosi Eeeh Eh![Chorus]Nisamehe NisameheNisamehe Nisamehe
[Verse 2]Eeeh!Chozi DibwidibwiNachanganyikiwaNa Vilio SishikikiNiko MagharibiLizamapo JuaWewe Upo MasharikiZawadi VipochiVijuisi VipipiNazimiss ChocolateNimekoma DearNilivyonyongeaHuba Zako SizipatiTabibuKunikomesha UmepataToto la KitangaSababuUmeichoka Jeuri YanguYa KipembaLile GubuLimeniisha KabisaBaby Hali NangaAibuWananicheka WajingaRudi NakuombaYou might also likeKwaruZuchuHakuna kulalaZuchuWanaZuchu[Bridge]Ngumu SafariNlifanya Njiani Ushukie Eeh Eh!Ukakosa SeatMmiliki Gari Lako Mwenyewe Eeh Eh!Nikajiveka MashatiNikajiona Me Ndo Mie Eeeh Eh!Kweli Mbaya HalisiNa Wema Hakosi Eeeh Eh!
[Chorus]Nisamehe NisameheNisamehe Nisamehe
[Outro]Eeeh!Nikikaa NawazaaNimuingie Kwa Style GaniNimlilieNiseme Nna MimbaKasahau Tshirt NyumbaaniNashindwa KujizuiaUvumilivu Unanishinda KwaniniNikimpigia Kusudi ZakeNa AkipokeaEti Haloo Wewe Nani?Iiiiih! Iiiih!Na Namba Kakupa Nani?Mara Oooh Kumbe WeweUnafanya Issue Gani?Siku Hiziiiii Iiih!Me Msanii AnajuaIna Maana Hanioni?Kwenye Tv Iiiih!Aah! Aih Wewe!Aah! Aih Wewe! ⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Zuchu's Nisamehe Track | Song