Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Zuchu's "Cheche" right here on Musik8 -Go To Play-
[Intro]
Hiii Ariroo Ariooo Rarariii Rararirii
Iyaaa Iya Iya Eeh
Tiyadi Yadi
Yadi Yadi Yadi
[Verse 1 : Zuchu]
Me Amor Teamo Le Te Quero Te Quero
Yaliyomo Yamo
Ujazo Wa Penzi Kwa Bero
Mwenzako Migulu Chegele
Kwa Ndani Naugulia...⇣ More
[Intro]
Hiii Ariroo Ariooo Rarariii Rararirii
Iyaaa Iya Iya Eeh
Tiyadi Yadi
Yadi Yadi Yadi
[Verse 1 : Zuchu]
Me Amor Teamo Le Te Quero Te Quero
Yaliyomo Yamo
Ujazo Wa Penzi Kwa Bero
Mwenzako Migulu Chegele
Kwa Ndani Naugulia Kwa Nje Bwerere
Sema Upendacho Utakula Njegere
Kinyama Kurumagia Au Nkuchumie Tembele
Na Bila Huruma Unanichuza Mambo Unayabaruza
Mi Mtoto Unanikuuza We Hayaaa!
Unanichezesha Kwaito Wakorowaito
You De Give Me Banana Yo Love Is Tanana
Nacheza Kwaito Wakorowaito
My Baby Twachezeshana
[Chorus]
Che Che (Heee)
Checherumba Che Chе (Tunashikana Shikana)
Checherumba Che Chе (Tunachezeshana)
Checherumba Che
Che Che Che Rhumbaaa
Che Che (Cheee)
Checherumba Che Che(Zinatoka Cheche)
Checherumba Che Che (Tukigusana Gusana)
Checherumba Che
Chee Cheee Cheee
[Verse 2 : Diamond Platnumz]
Eeh Unapendaga Chocolate (Enheeee)
Mavanila Nila (Enheeee)
TamTam Sweety Eti (Enheeee)
Nikichenga Ka Roger Milla (Enheeee)
Mbrroookeee!
Penzi Koleza Udi Wa Dubai (Alhabib)
Huba Lipambe Moto
Kama Mafuta Kwa Karai Okey
Na Ulivo Katotorito Toh
Leo Mpaka Kokoriko Ko
Getoni Kulamba Mwiko Ko
Sakafu Adi Kwa Tandiko Ko Korikoko
Mama Utaniua (Nikomeshe)
Ya Leo Kiboko(Nikomeshe)
Imezidi Utamu (Nikomeshe She She Nkomeshe)
Asa Kukwacha We (Ntawezaje)
Niende Kwa Mwengine (Ntawezaje)
Jeuri Sinaa Jinsi Twachezeshanaaa
[Chorus]
Che Che (Heee) Checherumba (Tunashikana Shikana)
Checherumba Che Che Tunachezeshana
Checherumba Che Che Che Che Rumbaaa
Che Che (Cheee)
Che Cherumba Che (Zinatoka Cheche)
Cche Che Checherumba (Tukigusana Gusana)
Che Che Cherumba Che
Chee Cheee Cheee
[Hook : Zuchu & Diamond Platnumz]
Na Kakara Zako Kinkiriiii (Kinkiri Kanka)
Kinkiri Kakaraaarara
Kinkiri Kanka Kinkiri
Yo Unanimalizaaagaa
Eeeh Na Kakara Zako Kinkiriii (Kinkiri Kanka)
Venye Unavyokinkiri (Kinkirinka Kinkiri Oooh)
Kinkirikanka Ki Ka Kirinkaka
[Outro : Zuchu]
Unanichezesha Kwaito Wakorowaito
You De Give Me Banana Yo Love Is Tanana
Nacheza Kwaito Wakorawaito
My Baby Twachezeshana
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Zuchu's Cheche Track | Song