Rayvanny-Number One cover art

Rayvanny ● Number One

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Rayvanny's "Number One" right here on Musik8 -Go To Play-

Macho yalikuona, moyo ukakuchaguaMdomo ukasema nakupenda aahMwambie umepona alokutesa moyo kuusumbuaMaumivu yamekwenda

Mi ni zawadi nilopewaMacho nipepese...⇣ More

Macho yalikuona, moyo ukakuchaguaMdomo ukasema nakupenda aahMwambie umepona alokutesa moyo kuusumbuaMaumivu yamekwenda

Mi ni zawadi nilopewaMacho nipepese wapiMi kipofu kwako sioniPenzi limetaratadi, napepewaHarufu ya marashirashiNikitouch touch shingoni

Uvae baibui khangaViatu vya kuchuchumia kangarooKisima tui tangaWe huba nifukizia pambe tu

Ukizungushia shangaInashuka inapanda chini juuNishatafuna karangaAsa chumba ndo kiwanda watoto tu iye iye

Number one, you're my number oneNumber one, you're my only oneNumber one, you're my number oneNumber one, you're my only one

La la la, la la laLa- la-la uhm

Hausukumi damu moyoUnasukuma upendo wanguNiko mahabani mambo sawaSawa

Penzi nalimung'unya kibogoyoNimepata size yanguYaani nalioga sio kunawaNa-ah

Filimbi nitapulizaKuita ndege wajeRaha zimefululizaKwako natokaje?

Hadi Bububu umepitilizaTuko kwa bibi PajeTaratibu unaniliza baba

Tulivuruge varangaChimeneza kunengua kwangaruNikiandae kitandaShuka za maua ua ya maroon

Kisha tugonge na viandaMambo ya kujizimua na varuNifunge upande khangaBabu Juma we kwarua kwa kwaru

Oh baby you are myNumber one, you're my number one(My one and only)Number one, you're my only one

Baby my (number one)Baby my (you're my number one)Ah i oh ohNumber one, you're my only one

Penzi limetaratadi, napepewaHarufu ya marashirashiNikitouch touch shingoni

⇡ Less


Artist : Rayvanny
SongTitle : Number One
Featuring : Zuchu
Album : Number One-Single
Release Year : 2021
Bitrate : 192 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop
Producer: Lizer Classic, S2Kizzy

Added On : 2022-12-29
Length : 3:34

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Rayvanny's Number One Track | Song

More Songs From | Featuring Rayvanny

Hongera
Tanzania

Rayvanny ● Hongera

DUR 3:34
Wababa
Tanzania

Rayvanny ● Wababa

DUR 4:34
Christmas
Tanzania

Rayvanny ● Christmas

DUR 2:40
My Lady
Tanzania

Rayvanny ● My Lady

DUR 3:47
FT Lexsil...

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song