Rayvanny-I Miss You cover art

Rayvanny ● I Miss You

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Rayvanny's "I Miss You" right here on Musik8 -Go To Play-

Hivi Bado Una Hasira,Bado Unanichukia,Bado Una Kinyongo.

Moyo Wako Ulisha Zira,Bado Unaninunia,Hivi Bado Una Usongo.

Kusema Bora TuachaneNdo...⇣ More

Hivi Bado Una Hasira,Bado Unanichukia,Bado Una Kinyongo.

Moyo Wako Ulisha Zira,Bado Unaninunia,Hivi Bado Una Usongo.

Kusema Bora TuachaneNdo Kauli Inayoniuma Kila NikikumbukaTusitafutane SikujuaNarusha Jiwe Ndege Ukapeperuka.

Tusijuane Nlisema Kwa HasiraLeo Ndo Najuta UsinitukaneNamba Yangu Nyingine Usije Futa.

Sipendi Tuchukiane,Naugua Kila Nikikumbuka Zamani.Sisemi Turudiane Najua Kwako NiNgumu Haiwezekani...

Ila I Want To Know,I Miss You. (I Miss You Baby)I Miss You. (Ahhhhhahh)I Miss You. (Nakukumbuka Weee)I Miss You. (I Want To Know)

I Miss You. (Nakukumbuka Weee)I Miss You. (Nakukubumka Baby)I Miss You. (Oooooo Ioooo)I Miss You. (Aiya Yaaah)

Aaaaaahhh. Aaahhhhh... Aaaahhhh.

Alisema Sele Gogo.Penzi Ni Kama Mmea,Hauchepui Muhogo.

Pale Pasipo Mbolea.Vilikushinda Vidogo,Hata Vya Kunitetea.Vikaondoka Vifijo Nderemo Zikapotea.

Nia Ya Moyoni Mwangu,Wewe Ulijaza Miba,Nikupe Pole MwenzanguPengo Lako Limezibwa.

We Endelea,Na Wafuga Kucha AkinaSidika Na Hudah.Hiriki Uzile.

Oohh Ila Tambua UtamalizaBucha TwazidianaUkubwa Nyama Ileile.

Sipendi Tuchukiane,Japo Najua Mungu Amenilinda Na Mengi.Na sisemi Turudiane,Hilo Tambua Mie Nilipovunja,Sijengi Na Niliko Salama.

I Miss You. (Oohh Yeeah)I Miss You. (We Niache)I Miss You. (I'm Doing Just Fine)I Miss You.

I Miss You. (I Don't Miss You No No)I Miss You. (No No No No No No)I Miss You. (Eehh Eehh)I Miss You. (Aaahhh Aahh)Aaaaaahhh...

I'm doing just fineWasafi

⇡ Less


Artist : Rayvanny
SongTitle : I Miss You
Featuring : Zuchu
Album : Flowers II
Release Year : 2022
Bitrate : 128 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop

Added On : 2022-12-27
Length : 4:08

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Rayvanny's I Miss You Track | Song

More Songs From | Featuring Rayvanny

Hongera
Tanzania

Rayvanny ● Hongera

DUR 3:34
Wababa
Tanzania

Rayvanny ● Wababa

DUR 4:34
Christmas
Tanzania

Rayvanny ● Christmas

DUR 2:40
My Lady
Tanzania

Rayvanny ● My Lady

DUR 3:47
FT Lexsil...

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song