Rayvanny-Zuena cover art

Rayvanny ● Zuena

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Rayvanny's "Zuena" right here on Musik8 -Go To Play-

Eyoo Trone
Mocco!
Kimaso maso aah
Umenifuta machozi
Umenifuta jasho aah
Nimesahau machungu
Naenjoy kwako aah
Niko dunia nyingine eeh
Nitachonga barabara
Ya mapenzi nipite nawe
Iwe imara imara
Kwa ujenzi kokoto mawe
Naomba...⇣ More

Eyoo Trone
Mocco!
Kimaso maso aah
Umenifuta machozi
Umenifuta jasho aah
Nimesahau machungu
Naenjoy kwako aah
Niko dunia nyingine eeh
Nitachonga barabara
Ya mapenzi nipite nawe
Iwe imara imara
Kwa ujenzi kokoto mawe
Naomba sana sala
Kwa Mwenyezi nizikwe nawe
Unang'ara ng'ara mbalamwezi
Sa acha ni mine
Oh my God
I feel so lucky
To have you in my life
Oh my love you are the blessing brought for me from above
Oh my love, I'll be your man forever
Will you be my wife?
Baba Lord atulinde mi nawe
Together for life, yeah
Unapendeza sana sana (Zue, Zuena)
Unanimaliza sana sana (Zue, Zuena)
Zuena aah (Zue, Zuena)
Zuena, oh I love you (Zue, Zuena)
Zue, Zue, Zue, Zuena, Zuena
Zue, Zue, Zue, Zuena, Zuena
Kanitoa bahari ya kusi
Kanileta mashariki (Zuena)
Huyu sungura, mwenye nyeupe nyusi
Hizi mbichi haziliki (Zuena)
Nikupindue pindue
Kama nageuza samaki (Samaki)
Wasiojua wajue
Nimekupenda sikuachi
Umukwano Zuena (Zuena) Zuena
Omulundi Zuena (Zuena) Zuena
Oh my God
I feel so lucky to have you in my life
Oh my love, you are the blessing
Brought for me from above
Oh my love, I'll be your man forever
Will you be my wife?
Baba Lord atulinde mi nawe
Together for life yeah
Zuena
Unapendeza sana sana (Zue, Zuena)
Unanimaliza sana sana (Zue, Zuena)
Zuena aah (Zue, Zuena)
Zuena oh I love you (Zue, Zuena)
I'm addicting mum
Fallin' for your love
My heart twisting
Ulinga ka suti blue
Bueno na mukwano interesting
Eeh chungu la macho mama
Wanauliza mbona unanipenda
Wanna put a ring in your finger
Wajua wanasema
Vita si ya mjinga
Maisha wawili
Si tujatatenda ah ah aah
Zue, Zuena, Zue, Zuena
Zue, Zuena, eh eh eeh
Unapendeza sana sana (Zue, Zuena) Unanimaliza sana sana (Zue, Zuena)
Zuena aah (Zue, Zuena)
I love you Zuena
Zuena oh, I love you
(Zue, Zue, Zuena)
I love you Zuena
Zuena, Zue, Zue, Zue
In everything you do do do
I love you, boo boo boo
You are my Zue, Zue, Zue
I mean Zue, Zue, Zue
You are my boo boo boo


⇡ Less


Artist : Rayvanny
SongTitle : Zuena
Featuring : Mbosso , Radio & Weasel
Album : Sound From Africa
Release Year : 2021
Bitrate : 128 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop
Producer: Lizer Classic, S2Kizzy

Added On : 2022-12-28
Length : 4:13

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Rayvanny's Zuena Track | Song

More Songs From | Featuring Rayvanny

Hongera
Tanzania

Rayvanny ● Hongera

DUR 3:34
Wababa
Tanzania

Rayvanny ● Wababa

DUR 4:34
Christmas
Tanzania

Rayvanny ● Christmas

DUR 2:40
My Lady
Tanzania

Rayvanny ● My Lady

DUR 3:47
FT Lexsil...

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song