Rayvanny-Magufuli Jembe cover art

Rayvanny ● Magufuli Jembe

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Rayvanny's "Magufuli Jembe" right here on Musik8 -Go To Play-

Jembe Jembe JembeJembe Jembe Jembe

Tanzania ya leo inapendezaSababu ya MagufuliNidhamu kwa watumishi wa ummaTwahudumiwa vizuri

Rushwa imekomeshwa...⇣ More

Jembe Jembe JembeJembe Jembe Jembe

Tanzania ya leo inapendezaSababu ya MagufuliNidhamu kwa watumishi wa ummaTwahudumiwa vizuri

Rushwa imekomeshwa sio kama zamaniSiku hizi hata vigogo wanafikishwa mahakamaniFikra nzuri za baba wa taifa kaendeleza hadi leoAsilimia arobaini ya mapato kwa maendeleo

Mtu wa msimamo mataifa mengi yamekomaMikopo isio na tija na miradi feki amekomaAlisema imekuwa sirikali sasa ipo DodomaKajenga ikulu cha mwino na kaipiga teke Corona

Aya flyover TAZARA Ubungo, Ndio!Standard gauge je? NdioHospitali na zahanati? NdioShule bure kwa wanafunzi? Ndio

Magufuli jembeLinalima, linalima lima linalimaMagufuli jembe letuLinalima, linalima lima linalima

CCM jembeLinalima, linalima lima linalimaCCM jembe letuLinalima, linalima linalima

Taifa nzima linamuombea mema MagufuliWakulima kawapigania walipwe vizuri

Wamachinga, wanampendaMadereva, WanampendaMama ntilie, wanampendaHadi watoto, wanampenda

Kina mama, wanampendaVijana na wazee, wanampendaHadi hadi wapinzani, wanampendaJapo wanavunga, wanampenda

Haya maji na umeme hadi vijijini, Ndio!Nidhamu serikalini, NdioMambo nimetukwa toka juu hakuna, NdioNdege kama zote, Ndio

Magufuli jembeLinalima, linalima lima linalimaMagufuli jembe letuLinalima, linalima lima linalima

CCM jembeLinalima, linalima lima linalimaCCM jembe letuLinalima, linalima linalima

Haya twende Pasha, pashaPasha, pasha pashaKina mama pasha, pashaPasha mikono pasha

Kina baba pasha, pashaPasha pasha pashaTwendee

Magufuli, chomaMama Samia, chomaKassim Majaliwa, chomaHadi mangula, choma

Haya twende pole pole, piga makofiMashiruali piga makofiDr Sheni piga makofiWigulu Chemba piga makofi

Makonda mikono juuKushoto kulia, kushoto kuliaKibakwala mikono juuKushoto kulia, kushoto kulia

Mavunde mikono juuKushoto kulia, kushoto kuliaTatulia mikono juuKushoto kulia, kushoto kulia

Peperusha bendera, aah bendera, madiwani wotePeperusha bendera, aah bendera, wabunge wotePeperusha bendera, aah bendera, kina mama wotePeperusha bendera, aah bendera, CCMPeperusha bendera, aah bendera

⇡ Less


Artist : Rayvanny
SongTitle : Magufuli Jembe
Album : Magufuli Jembe-Single
Release Year : 2020
Bitrate : 192 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop
Producer: Mr LG

Added On : 2022-12-29
Length : 3:31

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Rayvanny's Magufuli Jembe Track | Song

More Songs From | Featuring Rayvanny

Hongera
Tanzania

Rayvanny ● Hongera

DUR 3:34
Wababa
Tanzania

Rayvanny ● Wababa

DUR 4:34
Christmas
Tanzania

Rayvanny ● Christmas

DUR 2:40
My Lady
Tanzania

Rayvanny ● My Lady

DUR 3:47
FT Lexsil...

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song