Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Rayvanny's "Kazi Iendelee" right here on Musik8 -Go To Play-
Acha kazi iendelee
Acha kazi iendelee
Tulilia na tukalalama
Mbona baba ameondoka, tukashika tama
Ila Mungu hajatutupa, sababu upo mama
Mmmh mwanamke shujaa tupo salama
Tabasamu lako nguvu ya taifa
Unapambana sana mi nakupa...⇣ More
Acha kazi iendelee
Acha kazi iendelee
Tulilia na tukalalama
Mbona baba ameondoka, tukashika tama
Ila Mungu hajatutupa, sababu upo mama
Mmmh mwanamke shujaa tupo salama
Tabasamu lako nguvu ya taifa
Unapambana sana mi nakupa sifa
Toka makamu mpaka leo ulipofika
Dereva wa taifa letu utatufikisha
Hakuna nyumba bila mama eeh (Mama)
Utamfananisha na nani mama ni mama (Mama)
Mama Samia tuna imani nawe (Mama)
Mtetezi wetu ni nani? Kama sio wewe
Sauti ya upole uongozi unaujua aah
Hata hufoki ila ndo unawatumbua aah
Mungu akulinde mama twaomba dua aah
Ila wakikuzingua (Wakikuzingua) Nawe zingua ah ah
Madoctor hospitali, walimu shule (Kazi indelee)
Ulinzi ma askari, wananchi kule (Kazi indelee)
Boda boda bajaji mama nitilie (Kazi indelee)
Wakandarasi madereva na viwanda (Kazi indelee)
Oooh acha!
Acha kazi iendelee (Wacha kazi iendelee)
Acha kazi iendelee (Wafanya biashara)
Acha kazi iendelee (Wacha kazi iendelee)
Acha kazi iendelee (Wacha kazi iendelee)
Acha kazi iendelee
"Kwa wale ambao wana mashaka
Mwanamke huyu ataweza kuwa Rais
Wa Muungano wa Jamhuri ya Tanzania
Nataka niwaamnie aliyesimama hapa ni Rais"
"Nataka nirudie kwamba aliye simama hapa
Ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"
Acha kazi iendelee
Acha kazi iendelee
(Sound Boy)
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Rayvanny's Kazi Iendelee Track | Song