Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Rayvanny's "I Love You" right here on Musik8 -Go To Play-
Natamani moyo wako niufunge
Usitamani mwingine
Natamani moyo wangu nikupe wee
Nisiende kwa mwingine
Mwanzo nilijuta machozii
Maumivu ya mapenzi sikutaman kupenda
Wewe umenifuta machozi
Nimesahau enzi napendwa
Nimezaliwa ili...⇣ More
Natamani moyo wako niufunge
Usitamani mwingine
Natamani moyo wangu nikupe wee
Nisiende kwa mwingine
Mwanzo nilijuta machozii
Maumivu ya mapenzi sikutaman kupenda
Wewe umenifuta machozi
Nimesahau enzi napendwa
Nimezaliwa ili nikupe furaha
We malkia pepo ya dunia
Umezaliwa uniponywe majeraha
Mawazo ghasia nimetulia
Ooh I love (I love you)
Ooh I love (I love you)
Ooh I love (I love you)
Ooh (I love you)
I love you
Kwenye msitu wa mahaba mvua ya makopa inyweshe
Ishukr niloweee
Na ulivyofundwa kukaba funga mlango tukeshe
Nikupe utoe
Sauti yako kama ndege wa mwituni
Mi ni wako husitoke ubavuni
Tabasamu lako mfano wa malaika mbinguni
I am so deep deep in love
What have you done to me?
Nimezaliwa ili nikupe furaha
We malikia pepo ya dunia
Umezaliwa uniponywe majeraha
Mawazo ghasia nimetulia
Ooh I love (I love you)
Ooh I love (I love you)
Ooh I love (I love you)
Ooh (I love you)
I love you
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Rayvanny's I Love You Track | Song