Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Rayvanny's " Nipigie" right here on Musik8 -Go To Play-
Kama itatokea siku, utanimiss me (eeh)
Namba yangu ileile naomba unipigie
Kama umepatamuda naomba unitembelee
Si kwaubaya ila hali tu unijulie
Vita ukimya tuopiga mimi nawe eee
Nimekiri nimeshindwa mimi bado ni yule yule
Uliugusa...⇣ More
Kama itatokea siku, utanimiss me (eeh)
Namba yangu ileile naomba unipigie
Kama umepatamuda naomba unitembelee
Si kwaubaya ila hali tu unijulie
Vita ukimya tuopiga mimi nawe eee
Nimekiri nimeshindwa mimi bado ni yule yule
Uliugusa moyo wangu nakuleta tofauti pale
Kwenye kapu langu lahisia nafasi nyingine unipatie
Uuuuh hakuna wakulijaza pengo lokooo
Moyo mitima unatamani pendo lako
Nipendwapo we unapajua ndio maan napajali
Maumivu yako nayajua nimeshoka kuwa mbali mmmh
Na kumiss kumiss honey wewe
Sio rahisi rahisi kuwa mwenywe
Nipigie nipigie
Nipigie nipigie
Nipigie hata kidogo nikisalumie
Nipigie nipigie
Nipigie nipigie
Nipigie japo hali nikujulie
Kama ukipata muda
Sauti yangu uisikie
Misimamo wangu uleule uleule
Kisa au sema nirudie
Kama ukipata wasaa usinizungumziee
Siulipata wengine mi niache usinifikirie
Sura yako madhawa umeizalilisha
Kwa tabia yako
Niache niache baki peke yako
Moyo wangu umeugawa umenihuzunisha
Basi fanya yako
Niache niache mwana wamwenzako
Kwanini nilikupenda kwadhati
Nikaapa sikuachi mtoto ulo smart
Penzi lisilo nabahati limefika tamati
Sa nahesabu mababati
Maadui kindakindaki umewapa nafasi
Sasa wananidhihaki
Upendo umekaangwa chapati
Ushaunguza basi kuwanawe sitaki
Niaaacheee
Nipigie nipigie
Nipigie nipigie
Nipigie hata kidogo nikisalumie
Nipigie nipigie
Nipigie nipigie
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Rayvanny's Nipigie Track | Song