Rayvanny-Miss Buza cover art

Rayvanny ● Miss Buza

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Rayvanny's "Miss Buza" right here on Musik8 -Go To Play-

Huyo miss buza, mama miss BuzaJamani miss buza, nampenda miss BuzaHuyo miss buza, mama miss BuzaJamani miss buza, nampenda miss Buza

Rangi yake ya vidole kama ndizi za kuchoma⇣ More

Huyo miss buza, mama miss BuzaJamani miss buza, nampenda miss BuzaHuyo miss buza, mama miss BuzaJamani miss buza, nampenda miss Buza

Rangi yake ya vidole kama ndizi za kuchomaHarufu yake ya wigi unapata CoronaHee kikipigwa kigodoro lazima utamuonaShughuli hajaalikwa, kijola kashashona

Ila chumbani si gogo mwaliMbuzi kagoma kifo cha mende chaliUvunguni sakafu juu ya dariUa mtoto anaupaka asali mama

Akiona simu anapita anapita nayoEh! Akiona walleti anapita nayoEh! Akiona dundo kali anapita nayoYaani akiona begi kali anapita nayo

Ana msitu kwapani, dala kifuaniKwenye dala dala anapita dirishaniGhetto anazima taa, vipele mapajaniAna dera jipya, chupi la zamani

Ah yo yo yo

Huyo miss buza, mama miss BuzaJamani miss buza, nampenda miss BuzaHuyo miss buza, mama miss BuzaJamani miss buza, nampenda miss Buza

Haya kelele ya kwanza kwa missi yake, wehKelele ya pili kwa missi yake, weh, wehKelele ya tatu kwa missi yakeWeh, weh, weh weh

Mtoto anachu chu, anachuchumiaAna chu chu, mpaka nguo anavuaMtoto anachu chu, anachuchumiaAna chu chu, mpaka nguo anavua

Akivua shati muache, muacheAmeamua muache, muacheAkivua shati muache, muacheAmeamua muache, muache

Katikati nataka aloshindikanaKatikati nataka chura yenye laanaMwanangu katikati nataka aloshindikanaKati kati nataka chura yenye laana

Basi twende tunaenda kushotoWanangu kushoto, aahuni kushoto, masiselaTurudi ulia, wanangu kuliaMasela kulia, wanangu

Basi twende tunaenda kushotoEh kushoto, wanangu kushoto, yii kushotoBasi twende tunaenda kuliaWanangu kulia, ati, ati...

Basi twende teremkaWe mwanagu teremkaTeremka shika mabega teremkaBwana teremka, masisela teremka

Teremka shika kiuno teremkaWe mwanangu teremka, mama teremkaTeremka shika magoti teremkaBasi twende

Nionyeshe unavyochumaga mchicha tembeleNionyeshe unavyochumaga mchichaMama nioneshe unavyochumaga mchicha tembeleNionyeshe unavyochumaga mchicha

Oya twende kama unalo tingisha, we mama tingishaTuone tingisha we dada tingishaKama unalo tingisha, we mama tingishaTuone tingisha, we dada tingisha

Eyooo Kenny

Basi twende shosho, we nioneshe shoStyle gani unacheza kidalipoWe mwanangu shosho, we nioneshe shoStyle gani unacheza kidalipo

Basi tuende kibaikoko we mtotoMiguu juu ning'inia kama popoKibaikoko we mtotoMiguu juu ning'inia kama popo

Unakaa chini unakwenda unakwenda unakwendaShika magoti unashuka unashuka unashukaNa ka chini unakwendaa unakwendaa unakwendaaShika magoti unashuka unashuka unashuka

Basi twende timua vumbi timua, shemeji atafuaTimua vumbi timua, shemeji atafuaBwana timua vumbi, timua shemeji atafuaTimua tena timua, shemeji atafua

Wee Juma Lokole number oneKida mchoksi number oneHahaha Idriss wa kitaa number oneWeeee Aristote

Wapi Uncle Shamte ongeza ah mama DangoteMwambie ata draft lina vyumba havipangishwiEeh kidogo dogo msalimie KennyTony Vumwe, Ricardo MomoK Imani, Soni Weka

Eeh mwanangu Ommy CrazyOmmy Kichaa kini kazaaHK HK wapi Wanjala?Lengo Dangote nipelee

Ali mwa Kimwana Papichulo weeeEeh baba Benami, baba Benami aiiiAh wote, ah woteRJ the Dj, all day

Wananiitaga Dulla Makabila yaani King of SingeliWe Esma Platnumz anakusalimia mkubwa FellaWaambie wasitume wavulana kwenye shughli za wanaume

Mmmh Dulla jamani tucharaze kitu gani?Haijaisha tu, kama singeli ndo kurushana hiviMi siwezi jamani inatosha(Lazer on the Mix)

⇡ Less


Artist : Rayvanny
SongTitle : Miss Buza
Featuring : Dulla Makabila
Album : Miss Buza-Single
Release Year : 2020
Bitrate : 128 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop
Producer: DJ GIDOGODOGO , Lizer Classic

Added On : 2022-12-29
Length : 5:21

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Rayvanny's Miss Buza Track | Song

More Songs From | Featuring Rayvanny

Hongera
Tanzania

Rayvanny ● Hongera

DUR 3:34
Wababa
Tanzania

Rayvanny ● Wababa

DUR 4:34
Christmas
Tanzania

Rayvanny ● Christmas

DUR 2:40
My Lady
Tanzania

Rayvanny ● My Lady

DUR 3:47
FT Lexsil...

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song