Rayvanny-Corona cover art

Rayvanny ● Corona

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Rayvanny's "Corona" right here on Musik8 -Go To Play-

Corona, corona, coronaNooh ooh olo lo lolo oohMmh hey yy eeh (Mocco)

Wote tumuombe Mungu kwa hili jangaIkibidi lipiteTujihadhari na tujikingeIli...⇣ More

Corona, corona, coronaNooh ooh olo lo lolo oohMmh hey yy eeh (Mocco)

Wote tumuombe Mungu kwa hili jangaIkibidi lipiteTujihadhari na tujikingeIli lisitufike

Habari kote duniani zimesambaaUgonjwa unaua na hauna tibaNa wengine wetu masikini hatujiweziMwenyezi Mungu kawe tiba

Watoto wetu mashule, aahMama zetu tu sokoniKwenye vyombo vya usafiri makaziniTujilinde

Osha mikono, aaahEpuka mikusanyiko sio ya lazima, aaahNa uonapo daliliMapema wahi hospitali

Corona, corona, coronaCorona, corona, coronaCorona, corona, coronaCorona, corona, corona

Tanzania hatuwezi tukajiweka pembeni bila kuchukua hatua'Hatua zimeshaanza kuchukuliwaWaziri wa wizara ya afya ameshazungumzaAmeshatoa tahadhari mbalimbaliAmbazo tunatakiwa kuzichukuaNapenda nirudie ndugu zangu Watanzania

Kwamba ni vizuri sana tukaendeleaKuchukua tahadhari, kwa nguvu zoteUgonjwa huu unaua, na unaua kwa haraka sanaNiwaombe ndugu zangu Watanzania

Tusipuuze ungonjwa huu (Corona, corona, corona)Tusipuuze hata kidogo (Corona, corona, corona)Ni lazima tuanze kuchukua hatua (Corona, corona, corona)Za kujikinga kwa tatizo hili (Corona, corona, corona)

⇡ Less


Artist : Rayvanny
SongTitle : Corona
Album : Corona-Single
Release Year : 2020
Bitrate : 128 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop
Producer: Lizer Classic, S2Kizzy

Added On : 2022-12-29
Length : 2:43

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Rayvanny's Corona Track | Song

More Songs From | Featuring Rayvanny

Hongera
Tanzania

Rayvanny ● Hongera

DUR 3:34
Wababa
Tanzania

Rayvanny ● Wababa

DUR 4:34
Christmas
Tanzania

Rayvanny ● Christmas

DUR 2:40
My Lady
Tanzania

Rayvanny ● My Lady

DUR 3:47
FT Lexsil...

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song