Rayvanny-CCM Wayaaa cover art

Rayvanny ● CCM Wayaaa

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Rayvanny's "CCM Wayaaa" right here on Musik8 -Go To Play-

Wayaaa! Wayaaa!Wayaaa!

Kama kapiga kichuya Wayaaa!Kama kafunga Messi Wayaaa!Kama kapiga Msuva Wayaaa!Kama kafunga Ronaldo

Magufuli kapiga kachapa...⇣ More

Wayaaa! Wayaaa!Wayaaa!

Kama kapiga kichuya Wayaaa!Kama kafunga Messi Wayaaa!Kama kapiga Msuva Wayaaa!Kama kafunga Ronaldo

Magufuli kapiga kachapa Wayaaa!Wapinzani wameshindwa kudaka Wayaaa!Kwenye chama karudi Lowasa Wayaaa!Tunawafunga kama Samata Wayaaa!

Kipondo kipondoLazima tuchukue ndooTunavyowapa kipondoKama Barcelona kacheza ndondoo

Kipondo kipondoLazima tuchukue ndooTunavyowapa kipondoKama Barcelona kacheza ndondoo

Barabara kama mbele Wayaaa!Kacheza kama Pele Wayaaa!Tena reggea zipo tele Wayaaa!Shule bure bila kwere Wayaaa!

Kwenye afya kilimo asante Wayaaa!Umecheza kama Ngolo Kante Wayaaa!Standard gauge mwendo kasi mwake Wayaaa!Umetisha kama Mbape

Kipondo kipondoLazima tuchukue ndooTunavyowapa kipondoKama Manchester kacheza ndondoo

Kipondo kipondoLazima tuchukue ndooTunavyowapa kipondoKama Arsenali kacheza ndondoo

Wamebana wameachiaSamia, Suluhu kapiga shuti mbeleWamebana wameachiaKassim Majaliwa kama ameandika gere

Wamebana wameachiaDr Sheni kawakaba shingoniWamebana wameachiaMwake amepanda mpira kama Morrison

Pole pole anapiga shuti Wayaaa!Mangula anapiga shuti Wayaaa!Mangwala anapiga shuti Wayaaa!Makonda anapiga shuti

Wigulu chemba anapiga shuti Wayaaa!Majaliwa anapiga shuti Wayaaa!Mama Samia anapiga shutiMagufuli anapiga shuti Wayaaa!

Kona goli ...eeeh!Kona goli ...eeeh!Kona goli ...eeeh!Kona goli ...eeeh!

⇡ Less


Artist : Rayvanny
SongTitle : CCM Wayaaa
Album : CCM Wayaaa-Single
Release Year : 2020
Bitrate : 192 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop
Producer: S2Kizzy

Added On : 2022-12-29
Length : 2:01

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Rayvanny's CCM Wayaaa Track | Song

More Songs From | Featuring Rayvanny

Hongera
Tanzania

Rayvanny ● Hongera

DUR 3:34
Wababa
Tanzania

Rayvanny ● Wababa

DUR 4:34
Christmas
Tanzania

Rayvanny ● Christmas

DUR 2:40
My Lady
Tanzania

Rayvanny ● My Lady

DUR 3:47
FT Lexsil...

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song