Nandy-Siwezi cover art

Nandy ● Siwezi

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Nandy's "Siwezi" right here on Musik8 -Go To Play-

Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwaniKumbe kuachwa inaumaga iviiTena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririkaKumbe kuachwa ina umaga iviiUmeniumbua...⇣ More

Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwaniKumbe kuachwa inaumaga iviiTena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririkaKumbe kuachwa ina umaga iviiUmeniumbua bora nisemeKiapo nilicho kula bora nikitemeMapenzi shikamo sirudii tenaUmepatwa na nini si usemeKinachokufanya we unitemeMapenzi shikamo sirudiii tena

Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaaAu ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa

Bila wee me siwezi (sauti inarudia)Siwezi, siweziii (nakumbuka uliniambia)Bila wee me siwezi (sauti inarudia)Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)

Unanifanya mi nalewa sanaHaipiti siku bila kugombanaMapenzi yako ya kibabe sanaMalumbano ya mapenzi siyaweziKuna sielewi mana, ivi kwanini kwako na nga nganaMapenzi gani haya kutesanaWasi wasi wa mapenziIvi kwanini we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juuIna maana mie maisha yangu sito yasongesha oh mapenzi

Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaAu ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa

Bila wee me siwezi (sauti inarudia)Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)Bila wee me siwezi (sauti inarudia)Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)

⇡ Less


Artist : Nandy
SongTitle : Siwezi
Album : Siwezi-Single
Release Year : 2022
Bitrate : 192 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop

Added On : 2023-01-17
Length : 3:05

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Nandy's Siwezi Track | Song

More Songs From | Featuring Nandy

Kwamanati
Tanzania

Nandy ● Kwamanati

DUR 2:45
FT Fire Mlilo
Follow
Tanzania

Nandy ● Follow

DUR 3:00
Tick Tock
Nigeria

Harrysong ● Tick Tock

DUR 3:08
FT Nandy
Falling
Tanzania

Nandy ● Falling

DUR 2:59

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song