Nandy-Unanimaliza cover art

Nandy ● Unanimaliza

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Nandy's "Unanimaliza" right here on Musik8 -Go To Play-

Kimambo, on the beat

Hili huba, limenisafirisha mazimaKwenye dunia yangu mi na weweTuwe wote mi na wewe

Halitofubaa, mbali si' tutafika lazimaNa kwenye moyo wangu upo wewe⇣ More

Kimambo, on the beat

Hili huba, limenisafirisha mazimaKwenye dunia yangu mi na weweTuwe wote mi na wewe

Halitofubaa, mbali si' tutafika lazimaNa kwenye moyo wangu upo weweTuwe wote mi na wewe

Yaani kichwani nakuwaza weweNaona najiingiza mazimaNini umenipa wewe?Ona midadi inaniita

Nina imani nikiwa na weweNapona hata bila kupimaNini umenipa wewe?Ona midadi inaniita

Na nilivodidimia, unachuchumiaPenzi lako nipe weVile unang'ang'ania, mi napenda piaUnafanya nilewe

UnanimalizaUnanimalizaUnanimalizaUnanimaliza

AahhhLody Music on this one

Ninapumilia mipiraNitapokukosa nitashindwa hata kufikiriNakuwaza we, unaniwaza miPenzi linapata mavuno

Unavonipenda mpaka rahaMi natoa posa siwezi kufanya siriNataka kuwa na we, unataka kuwa na miWanga wanawashwa mikuno

Yaani mpaka raha

Napendwa-nalishwa-naogeshwa-navishwa nguo yaani mpaka nampendaNa-ninavoaminishwa-kabisa-kwamba-chaguo lake kabisa kanipenda

Napendwa-nalishwa-naogeshwa-navishwa nguo yaani mpaka nampendaNa-ninavoaminishwa-kabisa-kwamba-chaguo lake kabisa kanipenda

UnanimalizaUnanimalizaUnanimalizaUnanimaliza

⇡ Less


Artist : Nandy
SongTitle : Unanimaliza
Featuring : Lody Music
Album : Maturity EP
Release Year : 2022
Bitrate : 128 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Afrobeats

Added On : 2022-08-10
Length : 2:55

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Nandy's Unanimaliza Track | Song

More Songs From | Featuring Nandy

Kwamanati
Tanzania

Nandy ● Kwamanati

DUR 2:45
FT Fire Mlilo
Follow
Tanzania

Nandy ● Follow

DUR 3:00
Tick Tock
Nigeria

Harrysong ● Tick Tock

DUR 3:08
FT Nandy
Falling
Tanzania

Nandy ● Falling

DUR 2:59

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song