Nandy-Nibakishie cover art

Nandy ● Nibakishie

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Nandy's "Nibakishie" right here on Musik8 -Go To Play-

Mmmmmh oh oh oooh mmmhYaani, nikikutazamaNaiona Dunia wangu peke yangu tuJua linapozama, giza likiingiaNatamani nikuone tuOoh baby ukisakata...⇣ More

Mmmmmh oh oh oooh mmmhYaani, nikikutazamaNaiona Dunia wangu peke yangu tuJua linapozama, giza likiingiaNatamani nikuone tuOoh baby ukisakata rhumbaSijalewa nayumbaCaterpillar limebomoa nyumba mmmhNatamani nife nizikwe naweShida na raha naweNiwe naweMwenzako nimepatwa na homaUmepasua ngomaWe baba ni noma mmmhAkili imesita imegomaMwisho wa reli kigomaOoh ooh

Oh baby (nibakishie)Usinipe vyote mie (nibakishie)Utaniua (nibakishie)Kwa hiyo roho yangu (nibakishie)

Oh baby (nibakishie)Usinipe vyote mie (nibakishie)Utaniua (nibakishie)Kwa hiyo roho yangu (nibakishie)Ooh baby

Nishaharibu cocky ya mapenzi acha niloePacha wangu ni wewe tunamatch sare sareNitazurula kulilinda penziKwa ndumba na chaleTetere lipe mchele mzoga wake mweweOoh, basi nikabidhiOoh, moyo sitopunja wala kupima aiyayaYa yanishika ganzi na kichomi kuchomaMwili mzima wa tetema ooh maybeBaby, umetekenya ngomaWe mama ni noma (noma)Akili imesita imegomaaMwisho wa reli kigoma kigoma kigomaOoh ooh

Oh baby (nibakishie)Usinipe vyote mie (nibakishie)Utaniua (nibakishie)Kwa hiyo roho yangu (nibakishie)Oh baby (nibakishie)Usinipe vyote mie (nibakishie)Utaniua (nibakishie)Kwa hiyo roho yangu (nibakishie)Ooh baby eeh

⇡ Less


Artist : Nandy
SongTitle : Nibakishie
Featuring : Ali Kiba
Album : Nibakishie-Single
Release Year : 2020
Bitrate : 128 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop
Producer: Kusah & Logic

Added On : 2023-01-18
Length : 3:45

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Nandy's Nibakishie Track | Song

More Songs From | Featuring Nandy

Kwamanati
Tanzania

Nandy ● Kwamanati

DUR 2:45
FT Fire Mlilo
Follow
Tanzania

Nandy ● Follow

DUR 3:00
Tick Tock
Nigeria

Harrysong ● Tick Tock

DUR 3:08
FT Nandy
Falling
Tanzania

Nandy ● Falling

DUR 2:59

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song