Yii! Aga kana kiuno laini cha kucheza baikoko (Koko)
Nikikaona natamani tu nichambe doko (Doko)
Na roho kana tatu kwa mbili hapana si kimoko (Moko)
Aah-ah! Chenga kwa mwili ka gere John Boko
Chii! Eeh ah roho
Kanavyo isheke isheketua (Isheketu)
Aga, kama hana kingili
Anavyoicheketua (Cheketu)
I say niletee niletee (Niweke!)
Oooh niletee (Niweke!)
Niletee mpaka chini (Niweke!)
Unaogopa nini? (Niiweke!)
Oh baby niletee niletee (Niweke!)
Oh niletee (Niweke!)
Mpaka juu darini (Niweke!)
Kusi na kasikazini
Pakua! Oh paku, pakua pakua!
Uno la pochopocho
Asa pakua, enhee eh (Pakua pakua)
Ka kisamvu cha kopo Oya (Pakua, pakua pakua)
Pakua pakua, pakua
I say ilee, iletete
Mtoto punguza mapepe
Acha kitee, kitetete
Nivunjevunje niwe kiwetete ayee
Oh, kipo taabu
Katoto kamepungua (Sepetu)
Kipele kikiwasha
Sikuni nakakwarua (Keketu)
Mtoto kashika fimbo ya babu
Namshikisha adabu
Wasotupenda twawapa tabu
Tunawaimbia taarabu
Hao! Hawana
Hawana la kusema hawana
Hawana, hawana la kusema hawana
I say niletee niletee (Niiweke!)
Oooh niletee (Niiweke!)
Niletee mpaka chini (Niiweke!)
Unaogopa nini? (Niiweke!)
Oh baby niletee niletee (Niiweke!)
Oh niletee (Niiweke!)
Mpaka juu darini (Niiweke!)
Kusi na kasikazini
Pakua! Oh paku, pakua pakua!
Uno la pochopocho
Asa pakua, enhee eh (Pakua pakua)
Ka kisamvu cha kopo Oya (Pakua, pakua pakua)
Pakua pakua, pakua
Oya baby, sisi
Ndege laachia sa (Funga mkanda)
Eeh baby, sweety
Za kushoto kulia (Msongomsongo)
Jamani popo popo
Amsha popo (Amsha popo)
Nasema popo popo
Leo popo (Amsha popo)
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Mbosso's Pakua Track | Song