Macvoice-Ukinichiti cover art

Macvoice ● Ukinichiti

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Macvoice's "Ukinichiti" right here on Musik8 -Go To Play-

Aliekuumiza mtafutie mwenzieeIli ukimpost akimuona aumie

Tena mkiachana chunga usimrudiPost nyumba pesa gari ili ajutieNdo mama mimi simuwaziAkichelewa...⇣ More

Aliekuumiza mtafutie mwenzieeIli ukimpost akimuona aumie

Tena mkiachana chunga usimrudiPost nyumba pesa gari ili ajutieNdo mama mimi simuwaziAkichelewa kurudi naacha mlango waziTena namwambia aogope maradhiAkumbuke kinga asiende waziwaziNishaumizwa nishateswa na mapenziNusu nitoke uhai uhai uhaiNishaenyeka sanaMi natoa mapesa wao wana furahi furahi furahiiiUkinichiti nakuchitiUkiniacha nakuachaKwani yani shingapiYa nini tuumizane rohoUkinichiti nakuchitiUkiniacha nakuachaKwani yani shingapiYa nini tuumizane rohoShii shi shishiShishi shishiMh shishi shishi shishiShii shi shishiShishi shishiMh shishi shishi shishiKidole changu kimoja hakivunji chawaKama ukipenda boga penda na ua sawaAta ukiniroga husizidishe dawaNipe chuzi kunoga nijitanue mabawaHaya mapenzii hayanaga fundi OuuhHaya mapenzi yalikuwepo toka enzi uuhAcha nilewe eeh acha nipombekeAah stress zanini eeh pembeni nijiwekeeAcha nilewe acha nipombeke eehStress za nini eeh pembeni nijiwekeeNishaumizwa nishateswa na mapenziNusu nitoke uhai uhai uhaiNishaenyeka sanaMi natoa mapesa wao wana furahi furahi furahiiiUkinichiti nakuchitiUkiniacha nakuachaKwani yani shingapiYa nini tuumizane rohoUkinichiti nakuchitiUkiniacha nakuachaKwani yani shingapiYa nini tuumizane rohoShii shi shishiShishi shishiMh shishi shishi shishiShii shi shishiShishi shishiMh shishi shishi shishiUkinichiti nakuchitiUkiniacha nakuachaKwani yani shingapiYa nini tuumizane rohoUkinichiti nakuchitiUkiniacha nakuachaKwani yani shingapiYa nini tuumizane roho

⇡ Less


Artist : Macvoice
SongTitle : Ukinichiti
Album : Ukinichiti-Single
Release Year : 2023
Bitrate : 128 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop
Producer: Lizer Classic, Trone

Added On : 2023-01-02
Length : 3:57

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Macvoice's Ukinichiti Track | Song

More Songs From | Featuring Macvoice

Ukinichiti
Tanzania

Macvoice ● Ukinichiti

DUR 3:57
Muongeze
Tanzania

Macvoice ● Muongeze

DUR 3:09
FT Rayvanny
Sikuachi
Tanzania

Macvoice ● Sikuachi

DUR 3:17
FT Kusah

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song