Yaaani raha kumbe kupendwa kuna raha
Hadi raha tena ukipendwa sana
Aaah maumivu yako wapi
Kwakweli sisikii sikumbuki
Yaliyopita sindewele
Makasiriko hapana
Kwakweli nimewezwa Oooh sana
Hadi moyo unashituka
Nikikuona napagawa
Na tena unaeza kuta we ndo wa mwisho kupenda
Ukiondoka mi nitajua akili haitokuwa sawa
Mashavu yatapasuka baby punguza rahaa
Mimi na wewe forever
(Forever, forever)
Kumbuka, nakukunda mwenzako
(Forever, forever)
Mimi na wewe forever
(Forever, forever)
Kumbuka, nakukunda mwenzako
(Forever, forever)
Acha mi nitoe ya moyoni
Penzi lako limenilewesha
Mara paap tumejikuta peponi
Pumzi Mungu ametuwezesha
Hili penzi Tamu tena Tamu zaidi ya sugar
Ameniweka ndani kwenye moyo umenifuga
Babu usijekupotea Mac Muga
Yani tulenge zaidi ya Asake na Ruger
Yale masimango yenye karaha
Hayasikiki wote mdomo wazi
Ona nyuso zetu zina furaha
Niambie onaaah
Hadi moyo unashituka
Nikikuona napagawa
Na tena unaeza kuta we ndo wa mwisho kupenda
Ukiondoka mi nitajua akili haitokuwa sawa
Mashavu yatapasuka baby punguza rahaa
Mimi na wewe forever
(Forever, forever)
Kumbuka, nakukunda mwenzako
(Forever, forever)
Mimi na wewe forever
(Forever, forever)
Kumbuka, nakukunda mwenzako
(Forever, forever)
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Lody Music's Forever Track | Song