Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Lava Lava's "Najida" right here on Musik8 -Go To Play-
Nenda mwambie aliniacha hohehahe
Zimfikie salamu
Sasa nala pension kuch ch hota eh
Nishapata kinyama cha hamu
Wala tusingefika mbali niliona dalili
Bora kila mtu kivyake
Wala mapenzi si ujabari asikariri
Akadhani yuko peke...⇣ More
Nenda mwambie aliniacha hohehahe
Zimfikie salamu
Sasa nala pension kuch ch hota eh
Nishapata kinyama cha hamu
Wala tusingefika mbali niliona dalili
Bora kila mtu kivyake
Wala mapenzi si ujabari asikariri
Akadhani yuko peke ake
Sasa niko huru ctaki kusuffer
Nanenepa nina nuru bila maafa
Wale madege makunguru walinichachafya
Mambo yakawa vururu kama taraafa
Sasa najidai, najidai
Nimempata mpenzi
Oh sasa najidai, najidai
Nimepata mtetez
Mi sina sina wasiwasi
Nanepeana zawauma roho
Mwenzenu sina mahaba ya mwendokasi
Si twapeana wachafukwe ooh
Mi sina sina waswas
Nanepeana zawauma roho
Mwenzenu cna mahaba ya mwendokac
Si twanenepeana wachafukwe oh
Naweka waz bila kwikwi
Hadharani nanena mnisikie
Mbona mtachonga viazi
Wanafiki
Mkikesha kusema ya kwetu sie
Mimi na yeye mpaka parapanda
Neng'enekeni
Karaukeni mshinde kwa waganga
Nazi vunjeni
Kazaneni endeleeni kuchamba
Yote semeni
Semeni ila mtaisoma namba
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Lava Lava's Najida Track | Song