Jux-Sina Neno cover art

Jux ● Sina Neno

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Jux's "Sina Neno" right here on Musik8 -Go To Play-

Ayeeeaaa yeeeAyeeeaaa yeeeAyeeeeeee

Naona wameremetaNgozi imenawili, una furaha nowKitanda hakina siriZao la tendo, una kitumbo wow⇣ More

Ayeeeaaa yeeeAyeeeaaa yeeeAyeeeeeee

Naona wameremetaNgozi imenawili, una furaha nowKitanda hakina siriZao la tendo, una kitumbo wowMnapendezanaPenzi liko kasi kasiMkipostianaInstagram status

Tushafunika kurasaMambo ya zamani, yalishapitaMaisha mengine sasaKuwa na amani, hakuna vita

Pre-ChorusSiiikuchukii nakuombeaMaisha mema ya furaha, Mungu aoneshe njiaSiiiumiii nimezoeaIla na furaha, kuiona familia(Aaaah aaah)

Niko salama, mimi sina neno. (Aaaah aaah)Utaitwa mamaMtoto mpe upendo (Aaaah aaah)Niko salamaaaa, mimi sina neno. (Aaaah aaah)Utaitwa mamaMtoto mpe upendoo (Aaaah aaah)

UuuuuuuhIyeeeeee yeeeIyeeeee yeeeIyeeeee yeee

Najua unayo furahaKwa zawadi uliopataTena ulivyoshujaaMtoto mama amepataNa nyie msije gombanaMtoto akapata kashi kashiVizuri kuvumilianaMatatizo mkaya discuss

Tushafunika kurasaMambo ya zamani, yalishapitaMaisha mengine sasaKuwa na amani, hakuna vita

Pre-ChorusSiiikuchukii nakuombeaMaisha mema ya furaha, Mungu aoneshe njiaSiiiumiii nimezoeaIla na furaha, kuiona familia(Aaaah aaah)

Niko salamaaaa, mimi sina neno. (Aaaah aaah)Utaitwa mamaMtoto mpe upendo (Aaaah aaah)Niko salamaaaa, aaaaaah aaah. (Aaaah aaah)Utaitwa mamaMtoto mpe upendoo (Aaaah aaah)

⇡ Less


Artist : Jux
SongTitle : Sina Neno
Album : King Of Hearts
Release Year : 2022
Bitrate : 192 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Afrobeats
Producer: Jux

Added On : 2022-11-24
Length : 3:05

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Jux's Sina Neno Track | Song

More Songs From | Featuring Jux

Uta Dead
Tanzania

Jux ● Uta Dead

DUR 4:39
Hello
Tanzania

Jux ● Hello

DUR 3:08
FT MzVee ,...
Shugga Daddy Yanga
Tanzania

Jux ● Shugga Daddy Yanga

DUR 4:37
FT G Nako
Yaya
Tanzania

Rayvanny ● Yaya

DUR 5:19
FT Diamond...

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song