Jux-Sugua cover art

Jux ● Sugua

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Jux's "Sugua" right here on Musik8 -Go To Play-

Sugua Lyrics[Intro]
S2Kizzy baby

[Verse 1: Jux]
Sensima
Mtoto mpe funguo za bima
Kanitoa Bongo nimefika mpaka China
Toto, Zipu ka kishungi nimezima
Kamenipa lunch nimekula mpaka dinner, yeah
Santana, santana (guitar)
Kitandani...⇣ More

Sugua Lyrics[Intro]
S2Kizzy baby

[Verse 1: Jux]
Sensima
Mtoto mpe funguo za bima
Kanitoa Bongo nimefika mpaka China
Toto, Zipu ka kishungi nimezima
Kamenipa lunch nimekula mpaka dinner, yeah
Santana, santana (guitar)
Kitandani maji maji yanapambana (vita)
Kana inama, kana inama
Kanavyo iokota kama maua sama
Paka rukwili kwili siko peshi (siko peshi)
Namlipa mbili mbili sina breki (sina breki)
Nakadudisha mwili kitenesi (kitenesi)
Kamenikiri kiri mara murder case
Asa nionyeshe alichokupa mama




[Chorus: Jux & Diamond Platnumz]
Sugua! Sugua! Sugua!
Sugu, sugu, sugu (mama wee)
Sugua (ahaahaaa)
Sugua (ahaahaaa) [It's Platnumz]
Sugua (ahaahaaa) [Heeh! Zombie]
Sugu, sugu, sugu

[Verse 2: Diamond Platnumz]
Tai! Ungepanda pini pini ama kitoto
Nikupe kwa chini chini ama kwe ngoko
Goli sabini bini ama kimako
Chenga mwilini lini Johnny Boko
Mbbbrrrookkke!
Udi, udi udi udi (udi)
Katoto kako good good good (good)
Mood, mood mood mood (mood)
Navyo katafuna kama food
Oya katoto yani do salale (eeh, do salale)
Nakapa fishi kambale (eeh, wa kambale)
Whoo! Kibidu bidua (oh, bidua)
Pindu pindua (oh, pindua)
Yani naka chimbu chimbua (oh, chimbua)
Nambandika bandua, oh, dada de
Yani kama gaga limekwama kwenye guu

[Chorus: Jux]

Sugua! Sugua! Sugua!
Sugu, sugu, sugu (mama wee)
Sugua (ahaahaaa)
Sugua (ahaahaaa)
Sugua (ahaahaaa)
Sugu, sugu, sugu (mama wee)

[Outro: Diamond Platnumz & Jux]
Oya baby, wakiweka unaweka (weka tuone)
Ukichomoa nachomeka (weka tuone)
Weka weka weka mpaka down (weka tuone)
Komesha watoto wa town (weka tuone)
Fanya kama unasusa (weka tuone)
Nisogezee kisambusa (weka tuone)
Weka weka weka mpaka down (weka tuone)
Nikomesha watoto wa town (weka tuone)

⇡ Less


Artist : Jux
SongTitle : Sugua
Featuring : Diamond Platnumz
Album : THE LOVE ALBUM
Release Year : 2019
Bitrate : 128 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Afro Pop, Afrobeats
Producer: S2Kizzy

Added On : 2022-12-23
Length : 3:59

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Jux's Sugua Track | Song

More Songs From | Featuring Jux

Uta Dead
Tanzania

Jux ● Uta Dead

DUR 4:39
Hello
Tanzania

Jux ● Hello

DUR 3:08
FT MzVee ,...
Shugga Daddy Yanga
Tanzania

Jux ● Shugga Daddy Yanga

DUR 4:37
FT G Nako
Yaya
Tanzania

Rayvanny ● Yaya

DUR 5:19
FT Diamond...

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song