Haijalishi tumegombana, muhimu tunapendana
Siku zote mapenzi hayakosi mikwaruzano
Kama massage si umeziona, sijaleta kona kona
Ukweli nakupenda kweli, sina mwingine msemo
Ety umeacha msemo ety, ety me sina
Yaan kama kuku mdori, sina nyendo
Tena...⇣ More
Haijalishi tumegombana, muhimu tunapendana
Siku zote mapenzi hayakosi mikwaruzano
Kama massage si umeziona, sijaleta kona kona
Ukweli nakupenda kweli, sina mwingine msemo
Ety umeacha msemo ety, ety me sina
Yaan kama kuku mdori, sina nyendo
Tena usije unda maneno ety, sina radha mchicha poli
Nikikosa siombi sorry utazua skendo
Shida baridi yanibana mbavu
Machozi tiriri kwenye mashavu
Usiniuze ka chuma chakavu ni weweee
Kama we mchicha me ndo mnavu
Na we ndo tag ubavu
Bac rudi nijione shupavu nielewe
Kama utaki nielewa bac
Usiku mwema×2
Usiku mwemwa (ulale salama)
Usiku mwema (nakupenda sana)
Usiku mwema×2
Usiku mwema (ulale salama)
Usiku mwema (nakupenda sana)
Nimemisi lako tabasamu
Na ile kitu isoniisha hamu
Me napagawa ujue, nasiko sawa ujue
Mwingi wa busara na nizamu
Tajiri wa maneno matamu
Weee ndo Pozo langu wee, me naweka wazi wajue
Haujiulizi ulivyoondoka umeniachaje, itakuwaje, naishijeee
Nakosa usingizi umekwanda mbali we tembe wangweee
Kutwa chonde chonde mvua isije
Shida baridi yanibana mbavu
Machozi tiriri kwenye mashavu
Usiniuze ka chuma chakavu ni wee wewe
Kama we mchicha me ndo mnavunakupenda
Na we ndo tag ubavu
Bac rudi nijione shupavu nielewe
Kama hutaki nielewa bac
Usiku mwema×2
Usiku mwema (ulale salama)
Usiku mwema (sana)
Usiku mwema ×2
Usiku mwema (ulale salama)
Usiku mwema (nakupenda sana
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Ibraah's Usiku Mwema Track | Song