Harmonize-Yanga cover art

Harmonize ● Yanga

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Harmonize's "Yanga" right here on Musik8 -Go To Play-

Hii hapa sauti ya Konde boy mjeshiMtoto wa jangwani timu ya wananchiYaani kati kati ya jiji la Dar

Si ndo watoto wa jangwani Yanga Dar AfricaMakombe ya kabatini Hawawezi kufika⇣ More

Hii hapa sauti ya Konde boy mjeshiMtoto wa jangwani timu ya wananchiYaani kati kati ya jiji la Dar

Si ndo watoto wa jangwani Yanga Dar AfricaMakombe ya kabatini Hawawezi kufikaMpira unapigwa chini magoli uhakikaYaani dakika tisini tumesha watundika

Wanaona donge hao wanyonge(Wanaona donge hao wanyonge)Yanga tunaposhinda wanaona donge(Wanaona donge hao wanyonge)

Wanaona donge hao wanyonge(Wanaona donge hao wanyonge)Yanga tunaposhinda wanaona donge(Wanaona donge hao wanyonge)

Engineer naomba nikutumeUnifikishie salamuKwa Dr Msolo na Antonio LugaziAh waambie majirani Yanga sio size yaoYanga sio size yao, Kabisa!

Wanaokwenda na waende, watuachie wenyeweYanga sio size yao, Yanga sio size yaoYanga sio size yao, Yanga sio size yaoYanga sio size yao, Yanga sio size yao

Tupeleke GSMWatoto wa GSMWanangu wa jangwani

Pale pale wanachechemea (Yanga tunatembea)Wahuni wanachechemea (Yanga tunatembea)Eeeh wanachechemea (Yanga tunatembea)Aaah anachechemea (Yanga tunatembea)Wamechoka wanachechemea (Yanga tunatembea)Eeeh wanachechemea (Yanga tunatembea)

Yanga kindakindaki wapige waniueNaipenda Yanga kindakindaki wapige waniueEeeh mimi shabiki kindakindaki wapige waniueYanga kufa kupona wapige waniue

Eeh basi kama unaipenda Yanga piga makofiWe wote tena twende, piga makofiKama unaipenda Yanga piga makofiOngeza ongeza tena, piga makofi

Aya pasha pasha wahuni pashaTwende pasha pasha wahuni pashaAya pasha pasha danga pasha

Nasema piga makofi piga makofiPiga makofi piga makofiPiga makofi piga makofiPiga makofi piga makofi

Kama wewe ni shabiki kweliOnesha jezi nikuoneUzi mweupe wa GSMWewe onesha jezi nikuone

Kama kweli shabiki damuVua jezi nikuoneWe kama kweli shabiki damuLala chini tukuone

Asa Yanga daima mbele, mbele kwa mbeleWakishindana na sisi watachuna tembeleTwende mbele kwa mbele, Yanga daima mbeleWakishindana na sisi watachuna tembele

Yanga daima mbele, mbele kwa mbeleWakishindana na sisi watachuna tembeleYanga daima mbele, mbele kwa mbeleWakishindana na sisi watachuna tembele

Watoto wa jangwaniWaambie majirani zetu wamechokoza nyukiTunawapumulia golini kwao hatubandukiAnayezungumza hapa ni Konde Boy mjeshi

Twende sasa!

⇡ Less


Artist : Harmonize
SongTitle : Yanga
Album : Yanga-Single
Release Year : 2021
Bitrate : 192 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop
Producer: Young Keys Moronto

Added On : 2023-01-13
Length : 4:30

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Harmonize's Yanga Track | Song

More Songs From | Featuring Harmonize

I Made It
Ghana

Harmonize ● I Made It

DUR 4:28
FT Bobby Shmurda...
Personal Trainer
Tanzania

Harmonize ● Personal Trainer

DUR 1:48
Wangu Mimi
Tanzania

Harmonize ● Wangu Mimi

DUR 3:28
Sijui
Tanzania

Harmonize ● Sijui

DUR 3:22

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song