Harmonize-Wapo cover art

Harmonize ● Wapo

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Harmonize's "Wapo" right here on Musik8 -Go To Play-

EehMmmh mmhHivi kwanini nijitutumueNa dunia sio makaziVijineno neno vinisumbueHadi nishindwe kaziMama alisema mkuku...⇣ More

EehMmmh mmhHivi kwanini nijitutumueNa dunia sio makaziVijineno neno vinisumbueHadi nishindwe kaziMama alisema mkuku kwa nguruweKuishi na watu kaziAchambe atukane ata aniueNishasamehe mzani ni mzazi

Mwenzenu naficha nafichaMengi nayoyaonaKifupi nafunika kombeNikiamini kesho nayo sikuMapicha picha mapichaSidhani kama nitaponaWanangu wa mtaani mniombeeHii vita ni mchana na usikuOooh kuna watu na viatuWanatamani milele wawe waoUkijituma watasemaUnashinda nao

Oooh ni kama watu kumbeNdani wana roho za chatuHawatosheki na vikubwa vyaoWanatamani hata kidogo chako kiwe chaoMola nipe ujasiriKwenye kufanya maamuziZidi nikomaza akiliIsinipoteze miluziUniamshe alfajiriKama jana na juziKupata kukosa ni siriNawe ndo Mungu baba mwamuzi

Dear Lord, wapoIyeiye iye, wapoJapo ni ngumu kuwaona, wapoWapo wasotaka ufanikiweBinadamu hawana jeru, wapoKila utachofanya watasema, wapoWapo wasotaka ubarikiweDear Lord mmh

Watakuita mwanga kibongeTena kwa dharau wakuchekeWanachotaka we uongeeWaseme shukrani ya punda matekeKama vipi dem wake tumgongeeNdiye anayempiga chura tekeUsipoonewa ndongeBasi ndo ujue hauna makekeSikia Konde kwepa bana mjini shuleUkipata kidogo leta na nao tuleWachana nao wamesemaga umezoea vya bureMaana siku zote nyani halioni kundule

Kama baba na mama ndo nguzo ya duniaWapende woteSio wa kike anacheka wa kiume analialiaBila msaada wowote

Oooh kuna watu na viatuWanatamani milele wawe waoUkijituma watasemaUnashinda naoOooh ni kama watu kumbeNdani wana roho za chatuHawatosheki na vikubwa vyaoWanatamani hata kidogo chako kiwe chaoMola nipe ujasiriKwenye kufanya maamuziZidi nikomaza akiliIsinipoteze miluzi

Uniamshe alfajiriKama jana na juziKupata kukosa ni siriNawe ndo Mungu baba mwamuziDear Lord, wapoIyeiye iye, wapoJapo ni ngumu kuwaona, wapoWapo wasotaka ufanikiweBinadamu hawana jeru, wapoKila utachofanya watasema, wapoWapo wasotaka ubarikiweDear Lord

“Special message to the Youth”It’s your time now to follow your dreamsNo matter what people say stay humbleStay positive, follow your dreamBelieve in God, ease your mindEase your mind for Lord(The Most Wanted Mix)

⇡ Less


Artist : Harmonize
SongTitle : Wapo
Album : Wapo-Single
Release Year : 2020
Bitrate : 128 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop
Producer: Mix Master Garzy

Added On : 2023-01-13
Length : 4:12

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Harmonize's Wapo Track | Song

More Songs From | Featuring Harmonize

I Made It
Ghana

Harmonize ● I Made It

DUR 4:28
FT Bobby Shmurda...
Personal Trainer
Tanzania

Harmonize ● Personal Trainer

DUR 1:48
Wangu Mimi
Tanzania

Harmonize ● Wangu Mimi

DUR 3:28
Sijui
Tanzania

Harmonize ● Sijui

DUR 3:22

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song