Harmonize-Sijui cover art

Harmonize ● Sijui

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Harmonize's "Sijui" right here on Musik8 -Go To Play-

Konde boy call me number oneBakhresaaaMmmh

Picha na tattoo nitazifuta na kama pesa nitatafutaVipi kuhusu upendo wangu wa dhatiWambea kama nawaona wakinisuta...⇣ More

Konde boy call me number oneBakhresaaaMmmh

Picha na tattoo nitazifuta na kama pesa nitatafutaVipi kuhusu upendo wangu wa dhatiWambea kama nawaona wakinisuta kiko wapi yamemkutaPindi nitakapokuwa sio tena wako wa dhati(Mmmh)

Mapenzii wanaosema mapenzi yamezaliwa tangaNahisi wanakosea babe wangu wanamuonea(Babe)Taratibu macho fumba sikio la kushoto funga nibakishie la kuliaKuna kitu nataka kukuambia nisikilize wakunyumba mimi mwenzakoNikipata mavumba nitakuja kukuchumbua tutengeneze familia(Me na wewe)

Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani oouh no no(Nasema sijui iih)Mfano naweza namuachia nani(Yeyeyee)Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani(Sijui kama ntaweeeza)Mfano naweza namuachia nani(Iih iiih iiiih)It feels like am falling love for the first timeAm never seen love this before yes for sure

Yupo wapi yupo wapi mzuri wakumshinda babe wangu yuko wapiOoh yupo wapi anaejua thamani ya pendo langu yupo wapiNauliza yupo wapi ama mimi nimeshadate na wangapi yupo wapiOoh yupo wapi yupo wapi nimuone anaenijua mimi hakunaWengi wanakuja kunichuna wakijua kwamba pesa hakunaMara watanuna na kisa hakuna mape mapeenzi

Mapenzii wanaosema mapenzi yamezaliwa tangaNahisi wanakosea babe wangu wanamuonea(Babe)Taratibu macho fumba sikio la kushoto funga nibakishie la kuliaKuna kitu nataka kukuambia nisikilize wakunyumba mimi mwenzakoNikipata mavumba nitakuja kukuchumbua tutengeneze familia(Me na wewe)

Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani oouh no no(Nasema sijui iih)Mfano naweza namuachia nani(Yeyeyee)Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani(Sijui kama ntaweeeza)Mfano naweza namuachia nani(Iih iiih iiiih)It feels like am falling love for the first timeAm never seen love this before yes for sure

⇡ Less

Artist : Harmonize
SongTitle : Sijui
Album : VISIT BONGO
Release Year : 2023
Bitrate : 192 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop

Added On : 2023-12-07
Length : 3:22

Posted by Bossman

Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Harmonize's Sijui Track | Song

More Songs From | Featuring Harmonize

I Made It
Ghana

Harmonize ● I Made It

DUR 4:28
FT Bobby Shmurda...
Personal Trainer
Tanzania

Harmonize ● Personal Trainer

DUR 1:48
Wangu Mimi
Tanzania

Harmonize ● Wangu Mimi

DUR 3:28
Sijui
Tanzania

Harmonize ● Sijui

DUR 3:22

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song