Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Harmonize's "Sijalewa" right here on Musik8 -Go To Play-
Huyo Ex Wakunifanya Ninywe Nilewe Mbona Simuoni (Simuoni)
Mawazo Ya Kunifanya Ninywe Nilewe Me Siyaoni (Siyaoni)
Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja
Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae...⇣ More
Huyo Ex Wakunifanya Ninywe Nilewe Mbona Simuoni (Simuoni)
Mawazo Ya Kunifanya Ninywe Nilewe Me Siyaoni (Siyaoni)
Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja
Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja
Mmh Thanks Baba God For The Blessing
Am Living My Life No Stress
Music Is Just My Dream Am Chasing
Ukisikia Nimelewa Ni Tetesi
Ona Ninavyo Nata Aah Na Beat
Piano Za Kisasa Na Tbt
Mwendo Wa Kwaito Tunayarudi
You Can Tell Sijalewa Ni Kusudi
Leoooo
Sijalewaaa
Sijalewa
Sijalewa
Me Nafanya Kusudi
Sijalewaaa
Sijalewa
Sijalewa
Me Nafanya Kusudi Tuu
Siku Nikilewa Mtajua Mbona Mtajua
Mmh
(Aeee)
Kuna Mtu Hichi Kichwa Anakisumbua Siku Iyo Mtamjua
Mwenzenu Pombe Nishaacha Kuvuta Nishaacha
Ila Mapenzi Siwezi Acha Japo Yananiumiza
Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja
Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja
Mmh Thanks Baba God For The Blessing
Am Living My Life No Stress
Music Is Just My Dream Am Chasing
Ukisikia Nimelewa Ni Tetesi
Ona Ninavyo Nata Aah Na Beat
Piano Za Kisasa Na Tbt
Mwendo Wa Kwaito Tunayarudi
You Can Tell Sijalewa Ni Kusudi
Leoooo
Sijalewaaa
Sijalewa
Sijalewa
Me Nafanya Kusudi
Sijalewaaa
Sijalewa
Sijalewa
Me Nafanya Kusudi Tuu
The mix killer
Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja
Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Harmonize's Sijalewa Track | Song