Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Harmonize , Paul Maker's "Serikali Kuu " right here on Musik8 -Go To Play-
Quotable Lyrics:
Riki, misitabiriki, fundi wa muziki
wananiita kisiki, eeeyy
Dem wako akisema simpendi konde boy huyu
Ujue ka ni game nakaliwa buyu
Endelea kungojea mchicha
Uje kua mbuyu,usijifanye huniskii
Niqqa I’m talking...⇣ More
Quotable Lyrics:
Riki, misitabiriki, fundi wa muziki
wananiita kisiki, eeeyy
Dem wako akisema simpendi konde boy huyu
Ujue ka ni game nakaliwa buyu
Endelea kungojea mchicha
Uje kua mbuyu,usijifanye huniskii
Niqqa I’m talking to you
Hatuna Tv na hatuna radio
Yes ofcourse we run the city you
Hit after hit tega sikio
Kichwani haziishi material
I’m a genius musician, leo nakalisha ma rapper
Wenye chuki na mimi watasema najitapa
So many sacrifice jo hadi kufika hapa
Nikifa mnizike kwa heshima kama Benjamin
Mkapa
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Harmonize , Paul Maker's Serikali Kuu Track | Song