[Intro]
BBoy on the Beat
Konde Boy call me number one
Bakhresa
[Verse 1]
Ile mwanzo mwazo nalijua kopa,
Moyo ukadondoka kwa Wolper,
Ingali bado mdogo nikaogopa,
Hivi nitawezaje shindana na vibopa,
Nikasema hasara roho pesa makaratasi,
Si nikampa Sarah roho kulipiza kisasi,
Labda niseme ni mambo ya ujana,
Ama pengine nyota zilipishana,
Kila siku tukawa tunagombana,
Hapa kati kabla hajaja Brianna,
Na me na wife tulipendana,
Na tukajaga kuachana bila kugombana,
Baada ya kuja wenye chuki na roho za tamaa,
Wanifanya nionekane nimetamani mtoto na mama,
Basi hasira mawazo yakanisonga,
Dogo wa Mbeya aliposambaza Mkonga,
Haters wakazani nitajinyonga,
Hello NO, it’s true I’m Stronger,
Yeah, don’t teach me how to live,
[Bridge]
Don’t tell me how to live my life,
Kama nikila mbichi we kula mbivu,
Cause you go your life,
[Chorus]
I do my way,
Me na do my way,
I do my way,
Na siwezi kuwa wee,
Kamwe siwezi kuwa wee,
Na sitokuja kuwa wee.
[Verse 2]
Kwakuwa sijafumba macho, nitaendelea kupepesa,
Maana nikitakacho, hakipatikani hata kwa pesa,
Kama maisha ni bahati nasibu,
Basi sitochoka kujaribu,
Nipatie amani aibu,
Ninachojali watu wangu wa karibu,
Hata huyo ndugu yenu me sikuvitaka vita,
Mbona sikugombana na Madame Rita?
Ni pressure kuhofia nampita,
Akisikia (Cough/Kohoa) karoho kana pwita,
Kwakuwa siishi kwa matakwa ya mtu,
Siwezi mridhisha kila mtu,
Eti nisifanye kitu kumwogopa mtu,
Huu muziki ni kipaji sishindani na mtu,
Yeah, Yeah
[Bridge]
Don’t teach me how to live,
Don’t tell me how to live my life,
Kama nikila mbichi we kula mbivu,
Cause you go your life,
[Chorus]
I do my way,
Me na do my way,
I do my way,
Na siwezi kuwa wee,
Kamwe siwezi kuwa wee,
Na sitokuja kuwa wee.
Zara boy pass me the Wing,
I just wanna do my way,
Bad anything step away,
I just wanna my way.
Yaw Yaw,
For maturity,
This sound for maturity,
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Harmonize's My Way Track | Song