Harmonize-Bakhresa cover art

Harmonize ● Bakhresa

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Harmonize's "Bakhresa" right here on Musik8 -Go To Play-

BountyBakharesaBakhre, bakhreBakhre, bakhreBakhre, Bakhresa

YeahKonde boy call me number one, number oneBila...⇣ More

BountyBakharesaBakhre, bakhreBakhre, bakhreBakhre, Bakhresa

YeahKonde boy call me number one, number oneBila shaka haujawahi kumuona hata kwa suraBoss wa karibia unacho kulaHuwezi muona kwa Tv ata kwa dharulaIngawa yeye ndo nwenye king'amuzi

Hana time na mitandao yani kuuza suraYupe buzy na mafao pesa mlungulaAngetaka kupita nao wote angeshakulaHana huo muda wa makuziii

Masikini anawapa mitaji wagawaneNa watu wazimaHuwezi muona kwenye picha na wajaneAu mayatima

Hawezi kujisifia nyumbaWala magari range na bimaaRiziki anagawa muumbaJalajalali kikubwa uzima

Sura yake kwako lazima itakuwa ngeniUwenda ushapishana nae kwenye foleniMaana sio mtu wa kupop mashampeniYeye sio limbukeni yeah

Mfano wa mtu mwenye pesaOoh pesa aaaahWe mtazame bakhresa (bakhresa)Mfano wa mtu mwenye pesa aahOoh pesa aaaahWe mtazame bakhresa (bakhresa)I wanna smoke some weed uuh uuh uuh

Uuh uuh uuh, uuh uuh uuhUuh uuh uuh, uuh uuh uuhUuuh uuh uh, uuh uuh uhBakhresa uuh, bakhresa uuh aah

Bakhresa hajawahi kugombea cheoAu kujisifu na maendeleoHawezi kushika pesa akazigawaHivi ushasikia bakhresa ana chawa

Akina tajiri mo kipenzi cha wana samba aah aahTunawaona insta wakicheza nakuimba aah aahGhalibu boss wa yanga na GSMYeye ana utaratibuWa kwenda kwa mkapa kucheki game

Sio mbaya ila uwezi kumuona bakhresaAkijisifu na pesaNa majigambo rumbesaBakhresa aah aah

Natanzania pekee aliyee juu ya bakhresaNi raisi wa jamuhuri maana yeye ni taasisiOoh and guess what mama yuko peaceNa ukimuona ametokeaAkiongea ni kwaajili yetu sisi

Wakati unajigamba wa mbezi beachBakhresa ana mashamba huko kijichiEbu acha ushamba pesa haijifichiEti I gat too much money am so rich

Mfano wa mtu mwenye pesaOoh pesa aaaahWe mtazame bakhresa (bakhresa)Mfano wa mtu mwenye pesaOoh pesa aaaahWe mtazame bakhresa (bakhresa)I wanna smoke some weed uuh uuh uuh (yao yao)

Tell them boys we got this new money, na we leave low key babyThe mix killer (Jeshi)

⇡ Less


Artist : Harmonize
SongTitle : Bakhresa
Album : Bakhresa-Single
Release Year : 2022
Bitrate : 128 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop

Added On : 2023-01-11
Length : 3:57

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Harmonize's Bakhresa Track | Song

More Songs From | Featuring Harmonize

I Made It
Ghana

Harmonize ● I Made It

DUR 4:28
FT Bobby Shmurda...
Personal Trainer
Tanzania

Harmonize ● Personal Trainer

DUR 1:48
Wangu Mimi
Tanzania

Harmonize ● Wangu Mimi

DUR 3:28
Sijui
Tanzania

Harmonize ● Sijui

DUR 3:22

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song