Harmonize-Anajikosha cover art

Harmonize ● Anajikosha

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Harmonize's "Anajikosha" right here on Musik8 -Go To Play-

Ahaahahaha Jeshi, awiii!(Daxo Chali)

Anajiko, anajikoshaAnajikoo, anajikoshaAnajiko, anajikoshaAnajikoo, anajikosha

Jumamosi kakesha analewaJumapili...⇣ More

Ahaahahaha Jeshi, awiii!(Daxo Chali)

Anajiko, anajikoshaAnajikoo, anajikoshaAnajiko, anajikoshaAnajikoo, anajikosha

Jumamosi kakesha analewaJumapili kanisani, anajikoshaEti sipendi vya kupewaBango analipa shabani, anajikosha

Shoga jana nilinogaNa nywele yako umetisha, anajikoshaNimesharudi naogaJioni nitairudisha, anajikosha

Kwanza hata usitume tenaTayari nishazila, anajikoshaHasa baby nitakula niniZilikuwaga ni hasira, anajikosha

Penzi bichi makele bwanaNimehama nipo mbweni, anajikoshaTena huku ni baridi sanaHuhitaji hata feni, anajikosha

Awii, awaaaAwii, awaaaAwii, awaaaAwii

Asa lelele, lelele leleleleeLelele leleleleeTuimbe tena, lelele leleleleeLelele lelelelee

Anajiko, anajikoshaAnajikoo, anajikoshaAnajiko, anajikoshaAnajikoo, anajikosha

Baby baby umeniweza kwa bediSimkumbuki Juma wala MohamediIla mbona simu yake sasaHataki nijue password, anajikosha

Nitanyoosha chumaPengine shida mtandao, anajikoshaNikipiga kwa watoa hudumaMaelezo ni kibao, anajikosha

Mi siwezagi za kucheza chezaNa mshipa ngiri, anajikoshaMara ghafla kaihama mezaAnakimbia ya pili, anajikosha

Hio ndinga ilikamatwaNikampa leseni, anajikoshaKumbe aliena kuvimba TabataNa kademu pembeni, anajikosha

Awii, awaaaAwii, awaaaAwii, awaaaAwii

Asa lelele, lelele leleleleeLelele leleleleeTuimbe tena, lelele leleleleeLelele lelelelee

Anajiko, anajikoshaAnajikoo, anajikoshaAnajiko, anajikoshaAnajikoo, anajikosha

Yebo, yebo, yebo

⇡ Less


Artist : Harmonize
SongTitle : Anajikosha
Album : Anajikosha-Single
Release Year : 2021
Bitrate : 192 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop
Producer: Daxo Chali

Added On : 2023-01-13
Length : 3:47

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Harmonize's Anajikosha Track | Song

More Songs From | Featuring Harmonize

I Made It
Ghana

Harmonize ● I Made It

DUR 4:28
FT Bobby Shmurda...
Personal Trainer
Tanzania

Harmonize ● Personal Trainer

DUR 1:48
Wangu Mimi
Tanzania

Harmonize ● Wangu Mimi

DUR 3:28
Sijui
Tanzania

Harmonize ● Sijui

DUR 3:22

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song