VERSE 1
Hiyo miinamo huko nyuma yaliyomo yamo eeeh
Binti wa makamo come closer na give me some more
Kama tunda lilimshinda Adamu akashindwa kuvumilia
Sa kwanini tuitane binamu na nyongo itatumbukia
Ulimi ukipitiliza kunanimaliza mwenzako bado najiuliza
Hivi ni kweli ama tunaigiza
BRIDGE
Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
Mi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia
Zikanipanda hisia na nilipochuchumia maji yakatoka
CHORUS
Amelowa, amelowa amelowa na mvua, amelowa amelowa amenyeshewa na mvua,
Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
VERSE 2
Uuuh aaah ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba,
Uuuuh aaah kwenye papara pupa nawona washamba
Jeupega mwanao wenye kwilejakuloa jejikukila mwanau
liduvalipapa ukakaukyilamba, liduvalipamba ukakaukakyilamba
BRIDGE
Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
Mi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisia
Na nilipochuchumia maji yakatoka
CHORUS
Amelowa, amelowa amelowa na mvua, amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
OUTRO
Ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba
Kwenye papara pupa nawona washamba
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisia
Na nilipochuchumia maji yakatoka amelowa
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Harmonize's Amelowa Track | Song