Harmonize-Leave Me Alone cover art

Harmonize ● Leave Me Alone

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Harmonize's "Leave Me Alone" right here on Musik8 -Go To Play-

I don’t need nobody
Akinipenda mungu inatosha
Yeah I don’t need nobody
I don’t need nobody yeah yeah
Akinipenda mungu inatosha
I don’t need nobody
I don’t need nobody

Tulio ishi kwa ndugu ndio tunazijua hustle
Kula...⇣ More

I don’t need nobody
Akinipenda mungu inatosha
Yeah I don’t need nobody
I don’t need nobody yeah yeah
Akinipenda mungu inatosha
I don’t need nobody
I don’t need nobody

Tulio ishi kwa ndugu ndio tunazijua hustle
Kula na kulala manyanyaso
Fungasha urudi kijijini best naso
Mi akinipenda mungu inatosha
Mwengine atakusave kwenye shida
Utamdhani rafiki wa faida
Kumbe moyoni ana kuchukulia barida
Siku ukifanikiwa zinaanza shida
Yes now am going to another level
Sito tumia ndumba wala nguvu za devil
Simuitaji mwijaku h, na baba levo
Mi akinipenda mungu inatosha
Yes mi napenda marafiki
Wale wanao kuwepo wakati wa dhiki
Sio wanao kuja deal zikitiki
Sipendi unafiki akinipenda mungu
Inatosha no no no

Akinipenda mungu inatosha
Yeah I don’t need nobody
I don’t need nobody yeah yeah
Akinipenda mungu inatosha
I don’t need nobody
I don’t need nobody



Eti kisa unani follow unanipangia cha kuposti
Me siku follow shobo zako zinaku cost
We ni unfollow usiniletee mikosi
Akinipenda mungu inatosha
Ukiniona kutwa nipo ndnai sina tatizo
Na majirani ila sitaki wanijue kiundani
Akipenda mungu inatosha
Yeah I swear to my dead body
Simuamini rafiki anae nilipia kodi
Pengine anafurahi mi kumpigia hodi
Akinipenda mungu inatosha
Yes mi napenda marafiki
Wale wanao kuwepo wakati wa dhiki
Sio wanao kuja deal zikitiki
Sipendi unafiki akinipenda mungu
Inatosha no no no

Akinipenda mungu inatosha
Yeah I don’t need nobody
I don’t need nobody yeah yeah
Akinipenda mungu inatosha
I don’t need nobody
I don’t need nobody
Akinipenda mungu inatosha
I don’t need nobody
I don’t need nobody
Akinipenda mungu inatosha
I don’t need no
I don’t need no
I don’t need nobody
Akinipenda yeh
Akinipenda mungu
I don’t need no no nobody

⇡ Less


Artist : Harmonize
SongTitle : Leave Me Alone
Featuring : Abigail Chams
Album : MADE FOR US
Release Year : 2022
Bitrate : 128 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Afrobeats
Producer: B Boy Beatz

Added On : 2022-10-01
Length : 3:18

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Harmonize's Leave Me Alone Track | Song

More Songs From | Featuring Harmonize

I Made It
Ghana

Harmonize ● I Made It

DUR 4:28
FT Bobby Shmurda...
Personal Trainer
Tanzania

Harmonize ● Personal Trainer

DUR 1:48
Wangu Mimi
Tanzania

Harmonize ● Wangu Mimi

DUR 3:28
Sijui
Tanzania

Harmonize ● Sijui

DUR 3:22

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song