Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to G Nako 's "Tu Come" right here on Musik8 -Go To Play-
Mwanangu sina dakika
Ikikata sijui ntaongea vipi
Nina upwiruu
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Kheee leo
Utacome ama mi nicome
Utacome...⇣ More
Mwanangu sina dakika
Ikikata sijui ntaongea vipi
Nina upwiruu
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Kheee leo
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Utacome, ama mi nicome
Ni kwa zamu au nipo zamu?
Tucome, tucome, tucome
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Ni kwa zamu au nipo zamu?
Tucome, tucome, tucome
Kishikwambi leo nipo kambi
Nikadhambi au si kadhambi
Nipo gym sikati kitambi
Ni kapesa weka kachambi chambi
Kata simu watu tupo site
Ukibanwa ma mi nipo tight
Naliwasha niweke mood right
Micharazo humu ndani ti chi
Nikamtukano yaani kameet-ing
Si tukutane tupige meeti-ng
Kamsimamo hakilaliki
Ni makelele ni halaiki
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi come utacome
Ama mi nicome
Ni kwa zamu au nipo zamu?
Tucome, tucome, tucome
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Ni kwa zamu au nipo zamu?
Tucome, tucome, tucome
Ndo hiyo ndo hiyo
Utacome au kuna jam
Utacome au huna hamu
Ni patamu au si utamu
Ni kwa nje au kwa ndani
Nipo basi uje ndani
Kuperfom maana nipoform
Bibititi dalisalaam, popopipi palipapu
Usije nichomesha mahindi yeh u
Kajafanya nikamaind yeh
Tumalocation faindi yeeh
Nikutumikishe kihindi yeeh
Kuchi kuchi hotae
Kwichi kwichi walaah
Ndichi ndichi
Unipitishe kwenye miti mamaee
Unalipa ila mi silipi
Unashika, ila mi si shiki
Naivuta haivutiki
Chupi fupi ila haivuki kivipi
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Ni kwa zamu au nipo zamu?
Tucome, tucome, tucome
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Ni kwa zamu au nipo zamu?
Tucome, tucome, tucome
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on G Nako 's Tu Come Track | Song