Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Dizasta Vina's "The Tribulation" right here on Musik8 -Go To Play-
Yeah
We ni we msosi mfano chips na maini
Ila mbishi kama nini
Huu ni mkosi vipi hutaki kuamini
Unawekwa kwenye list ya maiti Sheikh
Unakuja bila tarehe
Unagusa busha wazee
Unanyukwa utadhani mfungwa unasuswa
Kama unanuka...⇣ More
Yeah
We ni we msosi mfano chips na maini
Ila mbishi kama nini
Huu ni mkosi vipi hutaki kuamini
Unawekwa kwenye list ya maiti Sheikh
Unakuja bila tarehe
Unagusa busha wazee
Unanyukwa utadhani mfungwa unasuswa
Kama unanuka unakufa kabla ya balehe
Sanaa ya uchanaji hauijui
Bunduki za maji haziui
Sa' si bora ungemsema hata kigogo
Utalala pema maan sina wema hata kidogo
Yeah unanitolea kibesi
Upande huu haufui maana haujauzoea fresh
Huwezi andikiwa wimbo ili ukabattle
Sa sijui niku -diss we au nimdiss aliyekucholea Verse Sheikh
Superstar je nalipa unauza?
Una mdinga una nyumba?
Unavimba maana umeanza kupita na wachumba
Swali lini utaanza kuwalipa maproducer?
Yoh hauna facts you just lie things
Unajibu disses kwenye side feeds
Sijui round pound high speed flying kicks
Flow ni moja tu vipi nikuue nikiwa na style nyingi
So jitahidi uwe unapanga hoja
At least weka wazo zima kwenye Stanza moja
Ukiwa unarukaruka kama paka mgonjwa
Una mzuka unasingizia ni flows unakaanga soda
Hauna mastanza
Ndo' nilivyo tabiri
Umejazwa upumbavu na unajua
Kwahiyo mwepesi kama goli la kwanza
Ama table ya pili
Au darasa la tatu... So nakuua
Unaji-contradict sana
Unanitukana wakati unajitukana
Tuliacha kuattack majibu tuna-battle njia
Unamtukana dada 'angu ambaye ni dada 'ako pia
Na unadada pia anapakatwa na anasaula
Tunamjua adi jina anaitwa Paula
Lugha ni ukumbi hauumiliki
So we sio Mshairi mzuri hauambiliki
Mcee nimeshiba vina ni mikosi
Mstari wa mbele kama pina
That’s too predictable, nabaki nje ya box nishaidivorce dini, wenzio Wanachukua mashost wakini-quote mimi
Fix your vocabularies you can read more
A good poet is the master of all big words
Hata uishi juu ya kilele the entire system
Ntabaki mwenye info elephantiasis
Talk about story telling look at damn halo
Sequel zako nyepesi you're not ready bado
Your story extensions man are scary narrow
Your plot twist your point of view all very shallow
I'm a better artist than your whole label
And I took story telling to the new level
You can't match my skill you can bow down and kiss ring
My storylines man are too stable
Pruu mpaka maka haunikuti
Kiakili we mpuuzipuuzi unapatia vyema
Hizo baka baka pussy pussy
Nilizitabiri kama kuchi kuchi bado ukarudia tena
Unalowesha flow bado tetenus
So umetaka nikutese now jiweke fasi
Nikupenge makamasi ujitenge nasi
Ujichenge maana unaleta usengenyaji
Kabla ya kuja tunaposettle manguri
Ongeza kazi ongeza kanda mseto sampuri
Afu kesho acha mapuri yanafanya uhisi umekua
Na bado haujapiga nyeto vizuri
Mara umeni-introduce mara naokoteza promo
Na we ndio ulianza kunitaja uliteleza domo?
Habari zimezagaa watu wananiona shujaa
Sasa ningetaka ustaa si ningecheza Porno
Unabuni weakness za oponents wako
Unazi-adress na unahisi control battle
Wakati label imekubeba unasinzia rodi
Kama mwali upo ndani na unalipiwa kodi
Who told you to come aboard? over
Mission compromise abort? over
Corporal you not alone and you don't grow, over
Go Master your bets 'cause you don't flow proper
Kitambo tulidili na ma yo yo
Wanaoficha ubovu wa mashairi kwenye flow flow
Mistari ukianza kuchambua unaficha sura
Flow wapi we' unaweza kuflow kumshinda Nura
So "Ama" rack him him giving him a Big L
Watch him die by my side while enjoying the big sale
Nilisema nikimbattle mtu namtaja jina
Sikukubattle nilikuelimisha sasa nakutaja Rapcha
Watu hawaigusi hii medulla
Sifanani na vikundi vya ma-regular
Hatujashindwa ni maamuzi tunavyo-operate
We unaenda mainstream tunaenda cooperate
Kuwa na kikomo joh, basi ukikosa kazi no
Don’t slap asses that’s homo bro
Labda haujui somo kuongelea ass ya mwanaume mwingine
Kwenye track that's not normal
Juzi juzi tu ulikuwa mtoto pori
Leo unaita wachumba inbox mpige story
Wachumba wanashangaa huyu jamaa mbona mbwiga
Followers kadhaa ameanza kujiona Bieber
Busy na mchongo unavyotext mashori
Ambao wanandoto ya kufanya mapenzi na Mondi
Mnaandaa verse wawili and still not enough
Now I'm taking y'all to the space Nigga buckle up
Marapa wanapublish mashpapi wao
Na wanapo-push ni makapi now
Hawako properly prepared kwa mi' papa lao
Papa Duvee mi ni Punchline powerhouse
Nakata wings si ulitaka upae
Kumbuka Ibrahim alimtoa sadaka mwanae
Mungu akamkataza, Namwambia Mungu this is personal
And this is not half of what i have in my Arsenal
Roho nyeusi umeishona so, purify
Hata ukikoroma bado you still a cutie pie mwah!!
Nenda forth and back kama ping pong
SPECIES zenu haziwezi ORDER CLASS kwenye hii KINGDOM
Umeanza kugonga gonga nyagi unaona umekua
Unapiga nyonya myonya bangi kunyonga hujajua
Upo juu ya jukwaa unalilia tuzo
Mi bado niko underground nashkilia nguzo
Mnafanya wasanii tuanze kuboa meza
Mamaako angetaka abortion ningetoa pesa
Tushatega money before hatucheleweshi
We gangster kesho bishoo hauleweki
Like i buy burdens
Hofu yangu ni Kwamba now I'm turning into a bad person
Nakushangaa unajiona star man you not really
Shave clean your dreads are whack and you're not Pretty
I BROUGHT IT HOME LIKE I'm GORDON BANKS SO IM STILL A DON
This is God's hand Peter Shilton
Control padi huwezi kucontrol battle
Kisha kadagi mbele na mayoyo wenzako
We ni ka Wale wanaharakati wenye hasira kama Pitbull
Nyuma ya keyboard wanatweet tu..click click
YeahWatch as I do my thang
I was gone but now I'm back like boomerang
God you are so young this is felony
I apologize I fall on my knees
Hata yaimbe makerubi na maserafi
I'm already twice the mc he'll ever be
Ndula za kichina nzuri hi Jackie chan
Pesa ukiiletea kiburi haipatikani
Unavyopuliza mapuri unajivika vipuri
Una sifa kama Dully minus money
Naskia unataka utoke sahau
Loga kwa waganga hauchukui kombe nyang'au
Kama mbovu ni mbovu tu hata uhonge wadau
Kakae kule kwa kina whozu, na kina bonge la nyau
Man in a city look at my Pep talk
Doing the impossible job killing a dead horse
Roho mbaya like a I'm a coke Miner I'm a dope Rhymer
Say hi to your Ghostwriter...
Sina sponsors kwahiyo sitishiwi kofi
Sichaguliwi Hobby Silipiwi kodi
Nitakushusha kama torrent Kiwazenze
Mkono huu jichagulie dole chimakeke
Mi ni shenzi wewe nyoko mbili
Hakuna bidhaa yoyote kuni-match kwenye soko hili
Hakuna copy nyingine hata copy mbaya
Ntakupoteza ubakie story kama Konki Faya
Tulishaflow tukafit puzzles jigsaw
So Kama bado haijavunjiaka hatufix bro
Kuwa na swag na kuwa whack kuna fine line
Calm down hujawa hata mfalme shy town
I cock my gun Rapper slay aje
1,2 turns unazo days chache
Unapontekenya chui, utapotea kama ndui
Serikali haikujui U don’t pay taxes
Oh My God man I hate rappers
Oh My God Inani-drain afya
Kwanini usiimbe tu Trap uka-change anga
Siwezi ku-share maujanja na hawa Trained Actors
N'shaona Vishungi Wamechoka mikazo
Naona Mabundi wanasoma mitajo
Sikurupuki maana ujuzi umekubuhu mapimbi hawaruki
Ufundi Kama konda lusajo
Niko na Wahuni wanatokwa na jasho kuchonga vinyago
Na ususi wa kuchosha vinabo
Niko na watunzi wanaofoka milazo, hawajachoka kuhustle
Kama haiuzi kosa ni lako
Si umeni-introduce haya ni-post basi
Na Ubishoo wote unaitwa Cosmas
Haujui Cross Multiplication Bodmas
Na ukileta uledger ledger naku-post twice
Naacha prints kwenye daftari document
Nembo ya jiji mfano wa askari monument
Shida zikileta Ngori mi sishake
Na napiga story utadhania Okot P’bitek
Leo wananiita Bar builder
Level 5 sorcerer kutoka far future
Mara Alien Illuminati nakaa nyumba
Area 51 666 au Bermuda
Nina kiatu hawezi akavaa njuka
Hasa Unayefanya rap sababu ya njaa ya fuba
Tofauti yetu ni kwamba sanaa yangu kubwa
Heavy element iliyozaliwa baada ya star kufa
Chukua leso/lesson ukiona utuli na majasho
Elewa kuwa tupo vizuri kwenye haso
Kwahiyo unaponiletea kiburi na minato
Nitakusimamishia shughuli ka sabato
Ipo habari ya wakubwa wa kitaa flani
Mistari kama nimetafuna daftari
Usipokuja na guard na miradi ilimradi
Jumla nitaigawa kwa idadi uwe wastani
Nani apagawe na hizo cool trends? is not for me
Because now i have new friend us called money
Born in wrong era so 'ama' chill with my cool aid
Si-deal na huyu new age he's so not funny
Thamani ya hii sanaa ni dili ya minoti
Milioni siri ya utajiri wa hawa mibosi
Naweza fanya uone una experience msosi
Baada ya njaa kali mi ni Shakespearian ghost broh
Ona unatoa machozi na jasho
Kwa Maana vigezo ni vingi vyote ninanvyo
Na sasa nina maujanja yaliyohodhi kiwango hakopi kinabo
Wenzio hawaniombi kolabo ni laana
Huyu jamaa amepinda anahitaji Cardio
Tatizo sipigagi pasi mitandio
Nina shehena imeshiba sitaki salio
Ni vile tu nimechagua heshima ka rastafali yoh!!
Nani atasettle kwa hii scenario
Nani ana kadi ya mchezo na mi ndo champion
Sibembelezi warembo mi sio mario
Ukiendekeza miskendo sina ufagio
Juju na njugu za sungusungu haziwe pair
Hii fensi ni ngumu ndugu hauwezi kwea
Van ghor nawapa kizunguzungu nikishade layers
Hatupo sawa mi ni nungunungu we ni teddy bear
Ogopa ma-pythagoras ma schrodinger
Ma documentary flani kwenye monitor
No one is insane enough to battle me
I’m so scary I’ll wear my own mask for halloween
Uncastrated stallion
And I keep it culture like I'm italian
D ni legendary kama home alone camp ama savio
One time for the motherfucker champion
Deals za ku-rectify schedule
Hata tukishiba tunaiweka hai mbegu
Usinipime kwa tuzo niko certified kwetu
Mtaani niko verified so I’m very fine thank you
⇡ Less
Posted by Bossman
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Dizasta Vina's The Tribulation Track | Song