Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Diamond Platnumz's "Overdose" right here on Musik8 -Go To Play-
Upendo ni burudani
Ila kwangu
Imekua karaha
Nacheka nje ila ndani
Moyoni nna majeraha
Mmmh Mmmh Siku
Hizi hata hanidekezi
Kawa mbabe mashine
Yamepungua mapenzi
Sjui kampata mwingine
Overdose...⇣ More
Upendo ni burudani
Ila kwangu
Imekua karaha
Nacheka nje ila ndani
Moyoni nna majeraha
Mmmh Mmmh Siku
Hizi hata hanidekezi
Kawa mbabe mashine
Yamepungua mapenzi
Sjui kampata mwingine
Overdose Overdo na
Ashanioverdose
Overdose Overdo na
Amenioverdose
Oooh Oooh
Oooh Oooh
Oooh Oooh
Oooh Oooh
Oooh Oooh
Oooh Oooh
Kitu kidogo lazima tulumbane
Simu vinamba tublokiane
Najitahidi jishusha tusikwazane
Kosa si kosa ataka tuachane
Mmmmh
Ndio maana unaniona
Kutwa mnyonge nasonona
Ila najitahidi mbona
Upendo mnara hautaki soma
Mmmh Mmmh Oooh Oooh
Siku hizi hata haniogeshi
Najiogesha mwenyewe
Vya utani hata hacheki
Najichekesha mwenyewe
Overdose Overdo na
Ashanioverdose
Overdose Overdo na
Amenioverdose
Oooh Oooh
Oooh Oooh
Oooh Oooh
Oooh Oooh
Oooh Oooh
Oooh Oooh
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Diamond Platnumz's Overdose Track | Song