Diamond Platnumz-Naanzaje cover art

Diamond Platnumz ● Naanzaje

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Diamond Platnumz's "Naanzaje" right here on Musik8 -Go To Play-

AyolizerAliumba ardhi akaumba mbinguAkaumba mbalamweziAkaumba nafsi, akaumba wivuAkayaumba na mapenziNa kukuacha sidhani, siwezi jaribu⇣ More

AyolizerAliumba ardhi akaumba mbinguAkaumba mbalamweziAkaumba nafsi, akaumba wivuAkayaumba na mapenziNa kukuacha sidhani, siwezi jaribuMaana penzi kwa mzani, limenizidi mahbibuShika vyema usukani, twende taratibuBaada ya tuta baby koleza gear

Yaani tamtam kama pipiNakuita sweety, ah roteroteFundi kwenye kwichikwichiShepu vipi? kama loteVicheche nishadeleteSitaki cheat, watoketokeKwenye moyo nimekupa seatWe ndIo dereva, asa kukuacha ooh oooh!

Naanzaje? Ooh mimiNaanzaje? Aah mimi apaNaanzaje? Mwenzako ooh kukuacha siweziNaanzaje? Ooh mimiNaanzaje? Aah mi jamaniNaanzaje? kukuacha ooh, kabisa siwezi

Hadithi kuja hadithi njoo, utamu koleaMwezenu huba liko kwa roho, limeninogeaVishanshuda poleni ooh, mnalo wambeaMtaja kuugua makwasha koo, kwa kutuongeleaTena mie kwake ndio dakitari, nampa tiba halaliWanaitaga sukari, alamba aam!Na jana nilifunga nikasali, nikamuomba JalaliAtuepushe madhohari, ya wanadam

Ah ah, we mtamtam kama pipiNakuita sweety, ah roteroteFundi kwenye kwichikwichiShepu vipi? kama loteVicheche nishadeleteSitaki cheat, watoketokeKwenye moyo nimekupa seatWe ndio dereva, asa kukuacha ooh oooh!

Naanzaje? Ooh mimiNaanzaje? Aah mimi apaNaanzaje? Mwenzako ooh kukuacha siweziNaanzaje? Ooh mimiNaanzaje? Aah mi jamaniNaanzaje? kukuacha ooh, kabisa siwezi

Na kukuacha sidhaniSiwezi jaribuMaana penzi kwa mzaniLimenizidi mahbibuWasaafi!

⇡ Less


Artist : Diamond Platnumz
SongTitle : Naanzaje
Album : Naanzaje-Single
Release Year : 2021
Bitrate : 320 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop

Added On : 2022-12-23
Length : 3:19

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Diamond Platnumz's Naanzaje Track | Song

More Songs From | Featuring Diamond Platnumz

Raha
Tanzania

Diamond Platnumz ● Raha

DUR 3:38
FT Zuchu
Mapoz
Tanzania

Diamond Platnumz ● Mapoz

DUR 4:09
FT Jay Melody...
Pounds & Dollars
Tanzania

Diamond Platnumz ● Pounds & Dollars

DUR 2:42
FT Wouter...
Happy Birthday
Tanzania

Diamond Platnumz ● Happy Birthday

DUR 3:20

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song