Diamond Platnumz-Magufuli Baba Lao cover art

Diamond Platnumz ● Magufuli Baba Lao

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Diamond Platnumz's "Magufuli Baba Lao " right here on Musik8 -Go To Play-

Magufuli baba lao (Baba lao)Joseph baba lao (Baba lao)John Pombe baba lao (Baba lao)Magu baba lao (Baba lao)

Eeeh Ma Samia mama lao (Mama lao)Majaliwa baba...⇣ More

Magufuli baba lao (Baba lao)Joseph baba lao (Baba lao)John Pombe baba lao (Baba lao)Magu baba lao (Baba lao)

Eeeh Ma Samia mama lao (Mama lao)Majaliwa baba lao (Baba lao)Bashiru baba lao (Baba lao)CCM chama lao

Kona kwa kona, chocho tuchochoKwa wakubwa mpaka watotoMagu anazidi pamba motoWapinzani matumbo joto

Mmechoka eti? (Aaah wapi)Mnataka lala? (Aaah wapi)Wapinznai watatuzidi? (Aaah wapi)Wataweza huu muziki? (Aaah wapi)

Sasa twende kisa mjini sambambaMagu anazidi bambaAnafufua na viwandaNdege zetu tunapanda

Wataweza kweli? (Aaah wapi)Kushindana nasi (Aaah wapi)Hata wakiungana (Aaah wapi)Matusi kututukana (Aaah wapi)

Magufuli baba lao (Baba lao)Joseph baba lao (Baba lao)John Pombe baba lao (Baba lao)Magu baba lao (Baba lao)Eeeh Ma Samia mama lao (Mama lao)Olepole baba lao (Baba lao)Mzee Mangula baba lao (Baba lao)CCM chama lao

Majib SelemaHadija Selema (Selema)Wananchi wamesemaTunashinda tena (Eeh tena)Wanadhani kura mseleleko

Eeeh tunawakwepaWatabaki masononekoEeeh tunawachekaKwanza kunja gaju (Eeh kunja gaju)Nikupe mikakati (Eeh mikakati)Ameleta mwendo kasiBarabara juu na kati

Eeh shule za kata (Ni bure)Sekondari (Ni bure)Hospitali (Ni bure)Kwa wazee (Ni bure)

Sisi twashinda tenaSisi CCM twashinda tena eehMagu anashinda tenaMagu Magu anashinda tena eehSamia anashinda tenaMama Samia anashinda tenaSisi twashinda tenaSisi CCM twashinda tena eeh

Magufuli baba lao (Baba lao)Joseph baba lao (Baba lao)John Pombe baba lao (Baba lao)Magu baba lao (Baba lao)Eeeh Makonda baba lao (Mama lao)Eri James baba lao (Baba lao)Juma Mabogi baba lao (Baba lao)CCM chama lao

Mzuka ukipandaNa hili shati navua (Acha uongo)Mzuka ukipandaNa hili bukta navua(Acha uongo)Jamani navua (Acha uongo)Mama navua (Acha uongo)Mwenzenu navua (Acha uongo)Eeeh kuna basata!

Basi napiga Yope (Huwezi)Oooh napiga Yope (Huwezi)Magu napiga Yope (Huwezi)Ma Samia napiga Yope (Huwezi)Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh! Eeeeeh!Eh! Eh! Eh! Eh Eh! Eeeh!

Wabunge napiga Yope (Huwezi)Madiwani napiga Yope (Huwezi)Wajumbe napiga Yope (Huwezi)Wenyekiti napiga Yope (Huwezi)Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh! Eeeeeh!Eh! Eh! Eh! Eh Eh! Eeeh!

⇡ Less


Artist : Diamond Platnumz
SongTitle : Magufuli Baba Lao
Album : Magufuli Baba Lao-Single
Release Year : 2020
Bitrate : 192 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop
Producer: S2Kizzy, Lizer Classic

Added On : 2022-12-23
Length : 3:06

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Diamond Platnumz's Magufuli Baba Lao Track | Song

More Songs From | Featuring Diamond Platnumz

Raha
Tanzania

Diamond Platnumz ● Raha

DUR 3:38
FT Zuchu
Mapoz
Tanzania

Diamond Platnumz ● Mapoz

DUR 4:09
FT Jay Melody...
Pounds & Dollars
Tanzania

Diamond Platnumz ● Pounds & Dollars

DUR 2:42
FT Wouter...
Happy Birthday
Tanzania

Diamond Platnumz ● Happy Birthday

DUR 3:20

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song