Diamond Platnumz-Kanyaga cover art

Diamond Platnumz ● Kanyaga

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Diamond Platnumz's "Kanyaga" right here on Musik8 -Go To Play-

It's Platnumz, Zombie(Woo, woiyo ooh woiyo ooh)Its S2kizzy beiby

Ati kanyaga ka ana pigo za unafikiKanyaga kama mmbeya asiye rafikiKanyaga kama fisi ana...⇣ More

It's Platnumz, Zombie(Woo, woiyo ooh woiyo ooh)Its S2kizzy beiby

Ati kanyaga ka ana pigo za unafikiKanyaga kama mmbeya asiye rafikiKanyaga kama fisi ana roho ya usinichiHakulishi, hakuvishi kwani vipi?

KanyagaWazee wa shombo kudandia, kanyagaKlabu kuomba omba bia, kanyagaSlay queens vibishoo vya bandiaUkivipa hai ati madai vinavimbia

Kanyaga!Uzushi, kanyaga!Mashemu feki, kanyaga!Nuksi, kanyaga!Kudadadeki, kanyaga!Mawifi, kanyaga!Mpaka ma ex, kanyaga!Mikosi, kanyaga!Woooya kanyaga!

Kanyaga! Kanyaga!Kanyaga! Kanyaga!Kanyaga! Kanyaga!Kanyaga! Kanyaga!

Yii, lanyaga! Kanyaga!Kama unanicheza zankuKanyaga! Kanyaga!Wale wakuda wadakuKanyaga! Kanyaga!Yeah, kidaku dakuKanyaga! Kanyaga!Wajue hizi namba chafu

Woo, woiyo ooh woiyo oohWoo, woiyo ooh woiyo ooh

Ooh yeah eehSiku hizi watu wanataka moneySo mi-gym itaku kosti, kanyaga!Kunitumia mipicha pigo gani?Ati basi day nikuposti (oh yeah yeah)

Kadi za harusi kuchanga changa, kanyaga!Wakati mwenyewe nina majanga, kanyaga!Sina godoro sina kitandaAti nikuchangie kodi kwenda kupanga (yii)

Kama buti la mugambo, kanyaga!Wavuruga mipango, kanyaga!Wazee wa Insta michamboAti 'baby niunge bando'

Kanyaga!Uzushi, lanyaga!Mashemu feki, kanyaga!Nuksi, kanyaga!Kudadadeki, kanyaga!Mawifi, kanyaga!Mpaka ma ex, kanyaga!Mikosi, kanyaga!Woooya kanyaga!

Kanyaga! Kanyaga!Kanyaga! Kanyaga!Kanyaga! Kanyaga!Kanyaga! Kanyaga!

Yii, kanyaga! Kanyaga!Kama unanicheza zanguKanyaga! Kanyaga!Wale wakuda wadakuKanyaga! Kanyaga!

Yeah, kidaku dakuKanyaga! Kanyaga!Wajue hizi namba chafu

I say leeeoooUsiku hatulali, tunakesha kama popoLeo, leoTena wapeni abare, kama wao paka si mbwa koko

LeeeoooUsiku hatulali, tunakesha kama popoLeo, leoTena wapeni abare, kama wao paka si mbwa koko

Asa timba, timba timba (timbaaa)Wanangu timba (timbaaa)Kwa guu la kushoto (timbaaa)Guu la kulia (timbaaa)

I say timba, timba timba (timbaaa)Oyaa wahuni timba (timbaaa)Kama unazikili (timbaaa)Chinja kabisa kili (timbaaa)

Kimya!

⇡ Less


Artist : Diamond Platnumz
SongTitle : Kanyaga
Album : Kanyaga-Single
Release Year : 2019
Bitrate : 128 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop
Producer: S2Kizzy

Added On : 2022-12-23
Length : 2:55

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Diamond Platnumz's Kanyaga Track | Song

More Songs From | Featuring Diamond Platnumz

Raha
Tanzania

Diamond Platnumz ● Raha

DUR 3:38
FT Zuchu
Mapoz
Tanzania

Diamond Platnumz ● Mapoz

DUR 4:09
FT Jay Melody...
Pounds & Dollars
Tanzania

Diamond Platnumz ● Pounds & Dollars

DUR 2:42
FT Wouter...
Happy Birthday
Tanzania

Diamond Platnumz ● Happy Birthday

DUR 3:20

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song