Diamond Platnumz-Inama cover art

Diamond Platnumz ● Inama

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Diamond Platnumz's "Inama" right here on Musik8 -Go To Play-

[Intro]
Ayolizer

[Verse #1: Diamond Platnumz]
Kukudekeza kama mtoto
Furaha unafurahia
Alafu geuka moto
Machozi unalia
Mwembamba mwenene
Uwe na pesa kama Dangote(Dangote)
Penzi halijali umasikini
Laweza penda mtu yoyote
Penzi...⇣ More

[Intro]
Ayolizer

[Verse #1: Diamond Platnumz]
Kukudekeza kama mtoto
Furaha unafurahia
Alafu geuka moto
Machozi unalia
Mwembamba mwenene
Uwe na pesa kama Dangote(Dangote)
Penzi halijali umasikini
Laweza penda mtu yoyote
Penzi sio somo
Ukasome kwa kitabu
Penzi limefanya Harmonize
Afukuzishe Mwarabu
Penzi oyoyo
Limeleta kwa wanangu vita
Siku hizi siwaoni
Naishia kuwalike Insta
Hivo asiyekupenda
Achana naye
Anayekupenda
Pendana naye
Mambo stress
Ya nyumba ndani
Ebu cheza ufurahi
Kama songi limekolea




[Chorus: Diamond Platnumz]
Asa inama
Ebu pinda mgongo(ooh ngo ngo ngo)
Oya inama(inama beiby)
Basi pinda mgongo(ngo ngo ngo ngo ngo)
Asa inama(inama beiby)
Ebu pinda mgongo
Kama tungi limepoza
Oya inama basi pinda mgongo


[Bridge: Fally Ipupa]

Toujours l'amour e'bandaka na esengo ba bisous ba calins
Ba cadeaux, ba je t'aime tout le temps
Mawé eleka wapi bébé na nga aza présente
Soucis eleka wapi? chérie na ngai azali ehhh
Tango nionso alobelelaka nga Je t'aime

Baloba baseka oh
Baloba baseka oh nga nako lembe teh!
Baloba baseka oh
Baloba baseka oh nga nako lembe teh!

Chérie na ngai aza kitoko
Chérie na ngai aza elengi trop
Chérie na ngai aza kitoko
Chérie na ngai aza elengi trop
Parfois l'amour est compliqué mais chérie à moi est toujours romantique

[Chorus : Diamond Platnumz & Fally Ipupa]

Asa inama (Oh oh oh)
Ebu pinda mgongo (nakupenda mtoto)
Oya inama (bana inama) basi pinda mgongo (bébé na ngai eh)
(na lela oh ohohoh)
Asa inama
Ebu pinda mgongo(ooh mgongo)
Oya inama basi pinda mgongo

[Verse #2]
Asa nionyeshe unanyonga je
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli
Ah kiuno kifanye pedeli
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli

Ah nyonga, na kupinda mgongo
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli

[Verse #3]
Nakucheza ka goma la kashikwa midadi
Analishare lishare
Analishare lishare(analilili)
Analishare lishare
Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi
Analishare lishare(yuko bwi)
Analishare lishare(silali)

[Outro]

Yeah Samuel Eto'o
Didier Drogba
Wasafi
Fally Ipupa, Tokooosss
Toza likolo, Bakokoka Té (Kokate)

--
Arsène Moses [THE BEST]

⇡ Less


Artist : Diamond Platnumz
SongTitle : Inama
Featuring : Fally Ipupa
Album : Inama-Single
Release Year : 2019
Bitrate : 128 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop
Producer: Lizer Classic

Added On : 2022-12-23
Length : 3:31

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Diamond Platnumz's Inama Track | Song

More Songs From | Featuring Diamond Platnumz

Raha
Tanzania

Diamond Platnumz ● Raha

DUR 3:38
FT Zuchu
Mapoz
Tanzania

Diamond Platnumz ● Mapoz

DUR 4:09
FT Jay Melody...
Pounds & Dollars
Tanzania

Diamond Platnumz ● Pounds & Dollars

DUR 2:42
FT Wouter...
Happy Birthday
Tanzania

Diamond Platnumz ● Happy Birthday

DUR 3:20

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song