VERSE 1
Kuna muda nakupata kwa wakati, kuna muda nakupata kwa manati
Nikikupata bahati hautoshi wakati
Kuna muda najiuliza tuko wangapi maana unatupanga kama mishikaki,
Huwenda sina bahati unatupindua kama chapati
Labda...⇣ More

Labda hali yangu duni ndio maana unanifanyia ushenzi simudu kucha, simudu saluni ndio maana
CHORUS
Tell me tupo in love ama tunataniana hata sielewi, sielewi, sielewi sielewi
Tell me tupo in love ama tunazinguana maana sielewi, sielewi, sielewi sielewi
VERSE 2
Kuna mida tukipanga tuwe wote wewe unavunja miadi labda una kimada pembeni
Ndo maana unakosa wakati
Nooo noo mara uko bize utanicheki baadaye na hiyo baadae upitilize hupatikani baby
We unachukulia easy mi si ndo kauka nkuvae haja zako nitimize unaponihitaji baadaye babae
Na kuna muda najiona kama kipozeo tu ukiwa nami unanipa magwanda ukiwa haupo sina cheo duuh
Agaaah nami kuna muda najiona, kama kipozeo tu, hupokeagi simu ukiwa umejaa unapokea ukiwa na shida tu
CHORUS
Tell me tupo in love ama tunataniana hata sielewi, sielewi, sielewi sielewi
Tell me tupo in love ama tunazinguana maana sielewi, sielewi, sikuelewi
VERSE 3
I swear to God when i decide to love i will never ever break your heart
I swear to God when i decide to love i will never ever break your heart
Umeniweka kwenye timing ili nipoteze timing baby
Usiniweke kwenye timing timing tukapoteza timing timing
Mapigo ya moyo yatakuwa juujuu pressure nayo itakuwa juujuu
Tunafunga kesi wangu buubuu maisha bila wewe ni pesa bila kibubu
CHORUS
Tell me tupo in love ama tunataniana hata sielewi, sielewi, sielewi sielewi
Tell me tupo in love ama tunazinguana maana sielewi, sielewi, sielewi sikuelewi
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Barnaba Classic's Hata Sielewi Track | Song