VERSE 1
Nakutumia message hujibu fine fine fine, ukiniona haunisalimii fine fine,
Ukiniona unabadili njia pia fine fine, hata message zangu haujibu basi fine fine fine
Nahisi kufa kufa penzi bila yeye nyumba bila ukuta, penzi...⇣ More
VERSE 1
Nakutumia message hujibu fine fine fine, ukiniona haunisalimii fine fine,
Ukiniona unabadili njia pia fine fine, hata message zangu haujibu basi fine fine fine
Nahisi kufa kufa penzi bila yeye nyumba bila ukuta, penzi lina nyufa basi fine fine
Pumzi yangu oxygen ndo yeye amenitelekezaga mwenyewe,
nami siwezi hema bila yeye basi fine fine
Mijongoo miguu mingi sioni sina machoo,
Nimehonga roho na shilingi kurudisha uwepo wakooo
CHORUS
Bado, bado bado, nakukumbukaa bado (kichwa unanipasua)
bado bado nakukumbuka bado (nashindwa kulala)
bado bado nakukumbukaa bado, (ninakuota ota tu)
bado bado nakukumbuka bado
VERSE 2
Ah, mchwa wameushambulia mgombaa walianza kula mizizi wamemaliza mkonga
Musa alinisimulia mjombaa, penzi ni sukari ya ndizi ila ni kama embe huvyonda
Ushuhuda wa mapenzi kijumbe ngoswee, hii vita mi siwezi sina dhana yoyote
Nilijitahidi sana vitunguuu kupatikana nikakopa kopa vinyanyaa haaaa,
Yapo yalowezekana na machache kushindikana, wapi tulishindwana aaaah
Mijongoo miguu mingi ila sioni sina machoo,
Nimehonga roho na shilingi kurudisha uwepo wakooo
Mi Bado, bado bado, nakukumbukaa bado (mwenzako bado)
ado bado nakukumbuka bado (nachanganyikiwa mimi)
Bado bado nakukumbukaa bado (nimezidiwa)
bado bado nakukumbuka bado
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Barnaba Classic's Hunitaki Track | Song