VERSE 1
Moyo pupa sijui kwanini undadunda sana
Oooh aibu macho yako ukinitazama
Ukitaka chips yai, asubuhi vitafunwa chai,
I feel you mbaya, Ooh eti mbaya
Kama malaika ulivyoumbika mithili ya kinanda au gitaa
Nikupige...⇣ More
VERSE 1
Moyo pupa sijui kwanini undadunda sana
Oooh aibu macho yako ukinitazama
Ukitaka chips yai, asubuhi vitafunwa chai,
I feel you mbaya, Ooh eti mbaya
Kama malaika ulivyoumbika mithili ya kinanda au gitaa
Nikupige mbaya, Ooh eti mbaya
BRIDGE
Mmmmh siutani siutani mamaa kwenye hilo tope mi nishazama (nshazama mazima)
So usije kunichanganya, ntalia machozi ntakusemea kwa mama, kwangu ni wewe tu
Only you, Only you (ni wewe tu) Only you, Only you (kwangu ni wewe tu)
Only you Only you Only you (Kwangu ni wewe tu)
VERSE 2
Mtoto idara zote yuko fine fine, umbo na sura she looks fine fine
Ananimudu kidume niko fine fine
Kwenye baridi we joto njoo nkupe peremende au jojo
Na kidume nishajaza ndoo tupunguze hata kikopo
Kukwacha siwezi we nazi mi mkwezi,
Nimelewa mapenzi umeni overdozi (umeni overdoze)
Ndo nimepata kwinini, madaktari wengine wa nini
Amenitibu na maini ameniwini nimemuwini
BRIDGE
Mmmmh siutani siutani mamaa kwenye hilo tope mi nishazama (nshazama mazima)
So usije kunichanganya mpenzi , ntalia machozi ntakusemea kwa mama, maana ni wewe tu
CHORUS
Only you (forever you being all mine) Only you (nikikosea usimind)
Only you Only you (forever you be ma mine)
OUTRO
We npepee dawa, usininyime mimi dawa, forever be mine (dawa),
usininyime mimi (dawa) we kwangu dawaa, usininyime mimi dawa forever you be mine (dawa)
Usininyime mimi dawa, Naaah
⇡ Less
Administrator
Days Ago
Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Barnaba Classic's Only You Track | Song