Barnaba Classic-Cheketua cover art

Barnaba Classic ● Cheketua

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Barnaba Classic's "Cheketua" right here on Musik8 -Go To Play-

It's her belovedThis is Barnaba Boy ClassicYo King I've got the message"I love her ah"Ow ho, oh oh oh, eh mhOh whoa whoa whoa yah (yo)⇣ More

It's her belovedThis is Barnaba Boy ClassicYo King I've got the message"I love her ah"Ow ho, oh oh oh, eh mhOh whoa whoa whoa yah (yo)Mhh, mhh, ah ah, ah ya yaPeke peke mh

Nikupe habari, tangu nirudi safariNikakupata kimwali, tumeshinda dhohariNitazungumza naye bibi na babu wataridhiaSiku ya ndoa shera wigiMie kanzu na jambia

Tumeshinda vizingiti wambea hamtutishiManeno yenu uchafuYeye shabuni mie jikiMtasubiri mazishi, sisi bado tunaishiUtamu wa wali naziKungu ule na parachichi

Ayii mwali wangu (cheketua)Wee ndio tunu yangu (cheketua)Mbeba siri zangu (cheketua)Mwenye tamu yangu (mh, cheketua)Ayii mama, uyoo (cheketua)Tumetoka far away (cheketua)Waacha waongee (cheketua)Maneno yao usijari (cheketua)

Peke, peke peke, peke oh mamaI dedicated this for you babyMy heart is for you babyThem folksMy love is good babyEh oi yee, iyo yo ah, ehh (eh)

Nikupe nikupe oh midolaArusha na Manyara ama nikupe dawaNikupe farahi, nikupe dinariNikupe bahari, samaki waishi mbalii

Roho ziliowapinga waambie ugoniree (waambie ugoniree)Ndanga mkyasi wangu woyi, woyi, woyiTumeruka vizingiti wambea hamtutishi (wambea hamtutishi)Utamu wa wali nazi, uutafune na ndiziNahisi mamaa asali yangu weAje mama mkwe (cheketua) akupe na zawadi

Ayii mwali wangu (cheketua)Wee ndio tunu yangu (cheketua)Mbeba siri zangu (cheketua)Mwenye tamu yangu (mh mh, cheketua)Ayii mama uyoo (cheketua)Tumetoka far away (cheketua)Waacha waongee (cheketua)Maneno yao usijari (cheketua)

Peke, peke peke pekeKaka, kaka ahhAh, ayi mamaAyii mama (peke peke)Ayii waachi waongee (peke peke)(Peke peke)Ayii mama, tumetoka far away (tumetoka far a way)

Barnaba (ah)Tausi ndege wangu (cheketua)Ndege wangu wa thamani (cheketua)Ndege ulioshika mali (cheketua)Na vitu vyangu vya thamani (mmh, cheketua)Mie Adam yeye ndio Hawa (cheketua)Nipetena mama (cheketua)Cheke cheke cheke (cheketua)Mhh (cheketua)

Mopao yo KingLove is good baby

⇡ Less


Artist : Barnaba Classic
SongTitle : Cheketua
Featuring : Ali Kiba
Album : Cheketua-Single
Release Year : 2021
Bitrate : 192 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Afrobeats , Afro Pop

Added On : 2023-01-18
Length : 3:45

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Barnaba Classic's Cheketua Track | Song

More Songs From | Featuring Barnaba Classic

Cheketua
Tanzania

Barnaba Classic ● Cheketua

DUR 3:45
FT Ali Kiba
Bolingo Nangai
Tanzania

Barnaba Classic ● Bolingo Nangai

DUR 3:26
She Got One
Tanzania

Barnaba Classic ● She Got One

DUR 3:39
FT Platform,...
Sayuni
Tanzania

Barnaba Classic ● Sayuni

DUR 3:52
FT Joel Lwaga

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song