Ali Kiba-Huku cover art

Ali Kiba ● Huku

Want to learn how to sing this song? You can find the Lyrics below to Ali Kiba's "Huku" right here on Musik8 -Go To Play-

Juu yako kibudu nimedead aah
Fanya utakavyo am ready aah mmh
Baby baby tuspend aah
Maisha yenyewe mafudi no dead line

Huku nishike, huku nishike huku
Aah huku baby, huku eeh
Huku nishike huku
Huku baby huku

We pisi kali...⇣ More

Juu yako kibudu nimedead aah
Fanya utakavyo am ready aah mmh
Baby baby tuspend aah
Maisha yenyewe mafudi no dead line

Huku nishike, huku nishike huku
Aah huku baby, huku eeh
Huku nishike huku
Huku baby huku

We pisi kali hushindani na vikaragosi
Ooh ooh vikaragosi
Usije ukamwaga mwenzio ntalost
Ooh ooh utanimaliza



Huku nishike, huku nishike huku
Aah huku baby, huku eeh
Huku nishike huku
Huku baby huku

Una hofu na monalisa na aisha
Wakati we ndo unanimaliza unanimaliza aah
We ndo unanifaana ni fire aah
Ooh ooh wale vikaragosi ooh
Wapi wapi wapi
Wapi nishike wapi
Wapi nishike huku
Wapi huku
Wapi nishike huku
Ooooooh
Ooh usisare sisare
Ooh nadi ana didiana
Ooh unanimaliza

Huku nishike huku
Huku baby huku
Huku nishike huku
Huku baby huku

Kata kidogo, nata na mikogo
Nataka kidogo
Kasweet kama jojo katoto ka model
Kata kidogo, nata na mikogo
Nataka kidogo
Kasweet kama jojo katoto ka model

Ooh usisare sisare
Ooh nadi ana didiana
Oooohhh

⇡ Less


Artist : Ali Kiba
SongTitle : Huku
Featuring : Tommy Flavour
Album : Huku-Single
Release Year : 2023
Bitrate : 192 Kbps
Country: Tanzania
Genre : Bongo Flava, Afrobeats, Afro Pop

Added On : 2023-09-07
Length : 4:05

Posted by Bossman


Comments

  • Sorry! The Comment Section Was Recently Disabled So You Wont Be Able To Comment on Ali Kiba's Huku Track | Song

More Songs From | Featuring Ali Kiba

Huku
Tanzania

Ali Kiba ● Huku

DUR 4:05
FT Tommy Flavour
On Fire
Tanzania

Ali Kiba ● On Fire

DUR 3:28
Mahaba
Tanzania

Ali Kiba ● Mahaba

DUR 3:17
So Hot
Tanzania

Ali Kiba ● So Hot

DUR 2:55

Promote Your Song on Musik8

  • Xclusive music library
  • Xclusive deals for artists.
  • Xclusive deals for record labels
Upload A Song